Tumgik
enockmaregesi · 3 years
Photo
Tumblr media
The simplicity of President Magufuli with regard to savings and protecting the national economy is that of the Father of the Nation, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. His responsibilities (to him) appear to be simple assignable to the gift of authority, given to him by God. https://www.instagram.com/p/CMlqr6rHgbM/?igshid=167qy4ht9nnas
0 notes
enockmaregesi · 3 years
Photo
Tumblr media
Tabaruku: John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alikuwa Alama ya Uchapakazi ya Bara la Afrika na Tanzania. Falsafa yake ya “Hapa kazi tu!” na kasi yake ya uchapakazi vilihamasisha mataifa mengi Afrika na duniani kwa jumla. Aliwapenda watu na Mungu, na pia alikuwa na msimamo thabiti katika mambo aliyoyaamini. Nukuu namba 139, kutoka katika kitabu cha Nukuu za Nyakati Zetu, ni kwa heshima ya Dkt. John Pombe Joseph Magufuli. Mungu Baba uishie mahali pa juu mbinguni uliyejaa huruma toa pumziko kamili chini ya mabawa ya uwepo wako, miongoni mwa watakatifu na safi wanaon'gaa sawasawa na mwangaza wa mbinguni, kwa roho ya John Pombe Joseph Magufuli, aliyetangulia katika milele, na ambaye kwa ajili ya kumbukumbu yake upendo unamwagika kutoka kila mahali ulimwenguni kote. Pumziko lake liwe peponi. Mungu wa huruma msogeze chini ya mabawa yako, na roho yake ipate makazi ya kudumu katika maisha ya milele. Bwana kuwa mmiliki wa roho yake, na apumzike kwa amani, Amina. Sisi wote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea. Ningependa kutoa salamu zangu za rambirambi kwa familia ya Rais Magufuli, kwa serikali, na kwa Watanzania wote, kwa msiba huu uliotupata sisi wote. Bwana alitoa, na Bwana ametwaa; jina la Bwana na libarikiwe. https://www.instagram.com/p/CMkYlCOnwAd/?igshid=iqr0kbvhaxeo
0 notes
enockmaregesi · 3 years
Photo
Tumblr media
Your old friends who are still your friends are so good for a variety of reasons: They have been with you in trouble and comfort; they know you well when you are happy, and they know you well when you are sad; you have been friends for many years and they even know your inside jokes; they know what you like best and what you don't like, and they know your strengths and your weaknesses as well. However, in our lives, we need friends of both types to simplify life. New friends add vital ingredients to our lives when old friends are the pillars or strong rocks of our lives, and they are the people who will really help us in trouble and comfort! Don't lose them or leave your old friends behind but build new relationships. Your old friends are gold, the present are silver. —Enock Maregesi, NUKUU ZA NYAKATI ZETU #oldfriends #oldpals https://www.instagram.com/p/CMPsssYHCsS/?igshid=vpku5jf4362z
0 notes
enockmaregesi · 3 years
Photo
Tumblr media
"Kama wanadamu tulitokana na Adamu na Hawa katika Bustani ya Eden miaka 6,000 hadi 10,000 iliyopita kama Wakristo, Wayahudi na Waislamu wanavyoamini, sayansi haina maana! Kama tunaikubali na kuifurahia sayansi ya leo, hatuna budi kukubali ya kuwa sayansi hiyohiyo inakataa kuwa dunia yetu iliumbwa miaka 6,000 hadi 10,000 iliyopita." —Trung Nguyen, Naturalopy: The Complete Reference https://www.instagram.com/p/CMH9GChHlXK/?igshid=3ubq1gfdpn2r
0 notes
enockmaregesi · 3 years
Photo
Tumblr media
Wazungu walituletea Mungu kupitia Ukristo wao kisha wakatushauri tumwamini Mungu huyo kwa roho na miili yetu yote. Lakini kwa nini leo 'hawataki' tumwamini Mungu huyohuyo kupitia UVIKO-19? Mwamini Mungu katika magonjwa yote! Miili yetu wakati Mungu anaiumba alihakikisha ina uwezo wa kujitibu yenyewe kupitia hisia, fikra na imani chanya. —Enock Maregesi, NUKUU ZA NYAKATI ZETU https://www.instagram.com/p/CMH7fTXnBWv/?igshid=19olhclle53wv
0 notes
enockmaregesi · 3 years
Photo
Tumblr media
Wakati mwingine Mungu anaweza kukuondoa katika familia yako polepole sana bila hata ya wewe kujua, wakati huohuo akikuambia urudi kuisaidia familia yako pasi na malipo yoyote. Kadhalika, Mungu anaweza kukuambia kuwa unao uwezo mkubwa sana lakini ulizaliwa katika familia ya watu walio na uwezo mdogo mno kulinganisha na wewe. Kwa hiyo, kuweka mambo sawa, huna budi kukubali kuwa familia yako inakupenda kwa kadiri ya uwezo wake! Usingesimama kama Mungu asingekuandaa. —Enock Maregesi, NUKUU ZA NYAKATI ZETU https://www.instagram.com/p/CMHJt_oHtsh/?igshid=e7wdqeqr9wli
0 notes
enockmaregesi · 3 years
Photo
Tumblr media
Sifa za nabii wa kweli: 1. Upendo 2. Furaha 3. Amani 4. Uvumilivu 5. Utu wema 6. Fadhili 7. Uaminifu 8. Upole 9. Kiasi Yeyote anayejiita au kuitwa nabii asiyekuwa na sifa hizi tisa ni nabii wa uongo. Manabii 268:1, katika kitabu cha Nukuu za Nyakati Zetu, kuna maelezo zaidi kuhusiana na manabii wa uongo. #manabiiwakweli #manabiiwauongo #falseprophets https://www.instagram.com/p/CMHJPkQn1I_/?igshid=p2532d0moeid
0 notes
enockmaregesi · 3 years
Photo
Tumblr media
Nani aliyebuni au kutunga maneno "Korona" na "UVIKO-19" yanayohusiana na ugonjwa wa kiulimwengu uitwao "Corona" au "COVID-19"? - 1. 2. Enock Maregesi, mwandishi wa vitabu: — Mar 31, 2020, saa 8:41 mchana (Machi 11, 2020 WHO iliutangaza ugonjwa huu kama janga la kidunia) https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=3141609125862894&id=100000415120038 — Aprili 26, 2020, saa 4:08 asubuhi https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=3202312169792589&id=100000415120038 — Julai 20, 2020, saa 5:55 asubuhi https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=3425414970815640&id=100000415120038 3. BAKITA (Baraza la Kiswahili Tanzania): — Jan 24, 2021, baada ya kusanifishwa Juni, 2020 https://www.medicopress.media/sayansi/afya/kiswahili-sanifu-cha-covid-19-ni-uviko-19-bakita/ 4. Msemaji Mkuu wa Serikali: — Feb 10, 2021, saa 3 usiku (kupitia runinga) Tarehe 10/2/2021 saa 3 usiku Dkt. Hassan Abbasi Said, Msemaji Mkuu wa Serikali, akihojiwa na Salim Kikeke wa BBC Swahili, alisema kuwa Kiswahili sanifu cha neno "Corona" ni Korona na neno "COVID-19" ni UVIKO-19. https://youtu.be/RvocZHnaMyo 5. Siulizi swali hili kwa sababu za kujigamba eti nami niliwahi kupendekeza jina! Nauliza kwa sababu ya kuweka rekodi sawa, hasa baada ya ugonjwa huu kuzidi kuenea ulimwenguni. https://www.instagram.com/p/CLJlW9LniWQ/?igshid=lvzjpyoa04t1
0 notes
enockmaregesi · 3 years
Photo
Tumblr media
Jana alfajiri tarehe 9/2/2021 niliota ndoto kuhusu wakati uliopo. Mzungu katika ndoto hiyo alikuwa akiwaelezea watu kuhusu nukuu yangu nyingine, iliyoandikwa kwa namna nisiyoielewa, iliyokuwa na fomula ndefu sana ya hesabu chini ya jina langu; lakini katika maelezo yake akamnukuu rafiki yangu Gabriel Isack kuwa aliwahi kuisema nukuu hiyo hapo chini, ikiwa ni kama msisitizo wa ile nukuu yangu niliyoshindwa kuielewa. Kama kawaida nilipoamka niliiandika kwenye shajara ili nisiisau kisha nikaingia mtandaoni kuona kama Gabriel Isack au mtu mwingine yeyote yule aliwahi kunukuliwa akisema hivyo. Lakini si Gabriel Isack au mtu mwingine yeyote yule anayesemekana kuwahi kusema hivyo. Sijui kwa nini Gabriel Isack alitajwa katika ndoto yangu na sijui kwa nini nukuu hii itungwe na yeye ndotoni badala ya kutungwa na mimi ndotoni hali kadhalika. Hata hivyo, vyovyote ilivyo, hongera sana Gabriel kwa kuhusika na nukuu hii. Mungu mwenyewe ndiye anayejua. #moment #reality #present #gabrielisack🧒 #enockmaregesi https://www.instagram.com/p/CLFmDsLHzGy/?igshid=x71td8ie6ezk
0 notes
enockmaregesi · 3 years
Photo
Tumblr media
0 notes
enockmaregesi · 3 years
Photo
Tumblr media
0 notes
enockmaregesi · 3 years
Photo
Tumblr media
0 notes
enockmaregesi · 3 years
Photo
Tumblr media
Lengo mojawapo la kitabu cha Kolonia Santita ni kuuchukuwa utamaduni wa Kitanzania na kuupeleka ughaibuni, lakini si kuzichukuwa tamaduni za ughaibuni na kuzileta Tanzania. Mhusika mkuu wa riwaya zangu zote za kijasusi anaitwa John 'Murphy' Ambilikile. Jina "Murphy" lilitumika ili kuleta usawa wa kitamaduni duniani! Yule anayetoka nje ya Tanzania, kama anaona shida kutamka jina "Ambilikile" basi atamke "Murphy"; na yule anayetoka Tanzania, kama anaona shida kutamka jina "Murphy" basi atamke "Ambilikile". Vinginevyo, kila mtu ajifunze kutamka jina "John 'Murphy' Ambilikile", "John Murphy", "John Ambilikile" au "Ambie" kwa kifupi kutegemeana na urahisi wa matamshi yake. Hata hivyo, "Murphy" si jina halisi la John Ambilikile. Hilo ni jina lake la kazi tu alilopewa na WIS, kitengo cha ujasusi cha Tume ya Dunia. Jina halisi la John 'Murphy' ni John Ambilikile. Pata nakala yako kwa kupiga simu namba 0782 749 415. https://www.instagram.com/p/CK6hNa3HGnE/?igshid=1b4j0vc3avnio
0 notes
enockmaregesi · 3 years
Photo
Tumblr media
"I care not what puppet is placed upon the throne of England to rule the Empire on which the sun never sets. The man who controls Britain's money supply controls the British Empire, and I control the British money supply." —Nathan Mayer Rothschild, 1777—1836 Pamoja na kwamba alishafariki miaka mingi tu iliyopita, Bw. Nathan Rothschild na familia yake inasemekana wanamiliki benki kuu karibu zote duniani, na wanasemekana kuhodhi asilimia 80 ya utajiri wote katika dunia hii. Je, ni kweli? https://www.instagram.com/p/CK6R-bKHxde/?igshid=oi4m9exuyzfl
0 notes
enockmaregesi · 3 years
Photo
Tumblr media
DONDOO YA SITA YA KITABU CHA KOLONIA SANTITA KATIKA LUGHA YA KIFARANSA - "La Colonia Santita (CS-14)", poursuivit le Président en se calant dans son siège, " est dans une course pour fabriquer des armes nucléaires selon les services de renseignement de la WODEC, mais nous ne savons pas dans quel but elles sont fabriquées ni avec qui la CS-14 coopère dans ce projet. Nous savons toutefois qu'elle a la capacité et l'expertise nécessaires - et que peut-être elle vendra le plutonium aux gouvernements colombien, iranien ou pakistanais. Selon nos sources au sein de la CS-14, ce minerai et ces stupéfiants sont cachés dans des cotylédons des forêts extraordinaires du Pérou, du Mexique ou de Colombie. La CIA, et d'autre services d'espionnage, qui recherchent le chef de la Colonia Santita depuis plus de dix ans, disent de même que ces cargaisons seront expédiées dans un délai de dix jours à compter d'hier mercredi et qu'elles seront distribuées sur les cinq continents du monde entier", le Président fit une pause et but de l'eau à nouveau. - "Le temps manque", poursuivit le président. "Nous savons à qui appartiennent ces colis. Nous savons qui a tué nos agents de police, les agents des polices mexicaine et américaine, des passants et pour quelle raison il a agi ainsi. Nous ne connaissons pas avec certitude l'endroit où les colis ont été cachés. Arrêter les coupables est une lourde tâche, camarades délégués. Il faut une bravoure exceptionnelle... et se sacrifier. Pour intercepter les colis de la CS-14, et arrêter son chef, il nous faut mener une lutte à mort. Pour que dans dix jours, les cargaisons soient confisquées et détruites et que les chefs (tous) de la Santita soient arrêtés et présentés à la justice". - En savoir plus ici: https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=4000247133332418&id=100000415120038 #french #kifaransa #coloniasantita #koloniasantita #enockmaregesi https://www.instagram.com/p/CKygc-vn7A-/?igshid=175trgzohd4ou
0 notes
enockmaregesi · 3 years
Photo
Tumblr media
"Katika maisha kwanza kabisa unajichukia ('self-hate'), kisha unajitafakari ('self-reflection'), unajiendeleza ('self-improvement'), unajielimisha ('self-education'), unajigundua ('self-discovery'), unajitambua ('self-awareness'), unajihurumia ('self-compassion'), unajitukuza ('self-esteem'), unajiamulia mambo yako mwenyewe ('self-determination'), unajitegemea ('self-reliance'), unajipenda ('self-love'), unakuwa kiongozi wa maisha yako mwenyewe ('self-mastery'), kisha unakuwa wewe ('self-actualization'). Unapokuwa wewe unafanikiwa. Hizo ndizo hatua 13 ambazo roho ya mtu hupitia hadi kufanikiwa ulimwenguni. Je, wewe upo au umefikia hatua gani hapo?" —Enock Maregesi, Nukuu za Nyakati Zetu https://www.instagram.com/p/CKvmoNFnqNN/?igshid=sqqcxql7lms6
0 notes
enockmaregesi · 3 years
Photo
Tumblr media
DONDOO YA 5 YA KITABU CHA KOLONIA SANTITA KATIKA LUGHA YA KIFARANSA Livre: Colonia Santita: La Malédiction du Tigre Auteure: Enock Maregesi, Romancier Africain Couverture: Pas de Couverture de Livre Réelle Le Commissaire général de la Commission mondiale, Boidin Versnick, 56 ans, était de taille moyenne, corpulent et un Belge qui adorait se vêtir élégamment, avec des costumes gris, comme celui qu'il portait aujourd’hui, et des chaussures noires brillantes. Ses yeux et sa tête au cheveux courts dorés et bien coupés étaient de petite taille (en comparaison de son corps). Boidin Versnick avait trois beaux enfants, deux garçons (Arcadius, 17 ans et Fabien, 19 ans) qu'il avait eus avec sa femme actuelle, Angéline Versnick, et une fille (Julie, 29 ans) issue d'un premier mariage avec la mannequin, Claudia Wuff. Arcadius et Fabien étudiaient encore. Julie, qui ressemblait beaucoup à son père par la taille, l'allure et les cheveux, travaillait dans la clinique de la WODEA de Norrebro comme spécialiste des maladies mentales. Avant que Versnick ne poursuive, la porte à battant s'ouvrit. La secrétaire particulière du Président, Karen Karlsen entra avec le Commissaire Nanda qui sortait de l'aéroport. Nanda fut invité par Ida à prendre place dans un siège libre (qu'on lui avait réservé) et fut assuré par Laursen qu'il n'était pas très en retard et que c'était le Président qui commencait à diriger la réunion en premier. Karen retourna dans son bureau, pour poursuivre son travail et parler au téléphone. Elle discutait avec Julie Versnick, sa meilleure amie. - "Camarade Vice-président", poursuivi Versnick qui s'était assis, sans être en paix, "Camarades Commissaires de la Commission mondiale, Camarades délégués des organisations internationales, messieurs les associés de la Commission mondiale, mesdames et messieurs." Il versa de l'eau dans son verre et en but un peu, son visage montrait de la tristesse et de la colère. En savoir plus ici: https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=3996290233728108&id=100000415120038 https://www.instagram.com/p/CKubV2oHK7K/?igshid=fxt46j8o5pf0
0 notes