Tumgik
#Sporah Njau
sporahshow 1 year
Photo
Tumblr media
Sporah Njau aIlitambuliwa kama mvumbuzi wa kiwanda kinachozalisha bidhaa zilizo rafiki katika utunzaji wa mazingira nchini Tanzania. Rapos ni kampuni ya kwanza ya kutengeneza mirija ya karatasi inayoweza kuoza baada ya matumizi nchini Tanzania. Kadiri kiwango cha uchafuzi wa mazingira duniani kinavyoendelea kuongezeka, mazingira na vyanzo vyetu wa maji vinazidi kuchafuliwa, haswa kwa viumbe vya majini. Kwa kuzindua kampuni ya kutengeneza mazingira rafiki聽inayozalisha mirija ya karatasi inayoweza kuoza, sisi, miongoni mwa wengi, tunaweza kufanya mabadiliko ya polepole kuelekea kupunguza taka zetu wenyewe na kupitia bidhaa tunazotoa na zile za wateja wetu pia. Ukweli ni kwamba mirija ya plastiki Iliyotumika mara nyingi huwa na athari mbaya zaidi kwa : bahari zetu. Inakadiriwa kuwa tani milioni 8 za plastiki huishia baharini kila mwaka, na tani 1.15-2.41 huelekea chini ya mito mikubwa kote ulimwenguni. Mirija ya plastiki yaweza kuwa michache , lakini tunapotumia mabilioni yake kwa mwaka, inachangia kwa kiasi kikubwa ongezeko la taka za plastiki katika bahari zetu. Ukweli ni kwamba , wanasayansi wanatabiri kuwa ikiwa tutaendelea kuruhusu plastiki kuingia baharini kwa kiwango hiki cha sasa, kufikia 2050 kutakuwa na plastiki zaidi (kwa uzito) kuliko samaki katika bahari. TUMIA MIRIJA YA KARATASI KULINDA MAZINGIRA: Wakati ujao ni bluu馃寠 Wafurahishe wateja na wageni wako kwa mtindo wa maisha unaolenga siku zijazo. https://www.instagram.com/p/Ck2OJ6EKNdW/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
sporahshow 11 years
Video
LDNC PERFORMING LIVE. (by sporahshow)
1 note View note
sporahshow 11 years
Video
MR JUSTUS ESIRI EXCLUSIVE ON THE SPORAH SHOW!!! (by sporahshow)
1 note View note