Tumgik
#nataka kujenga nyumba
hamiahapa · 3 years
Text
JINSI YA KUFANYA MAKADIRIO YA GHARAMA ZA UJENZI WA NYUMBA YAKO - S1
SEHEMU YA KWANZA: MAHESABU YA IDADI YA TOFALI ZINAZO HITAJIKA KWAAJILI YA UJENZI WA MSINGI NA KUTA (TOFALI ZA BLOCK)
Habari wana Ujenzi!, nimegundua watu wengi wanapata changamoto ya kufahamu makadilio ya material wanayo hitaji katika ujenzi wa nyumba ama majengo mbalimbali. Kwasababu hiyo nimeamua kuanza mfululizo wa kutoa elimu hiyo na leo tutaanza na mahesabu ya idadi ya tofali zinazo hitajika kujenga.
youtube
Kabla haujaanza kufanya mahesabu lazima uwe na vitu vifuatavyo
1. Uwe na ramani yenye vipimo ili kujua ukubwa wa jengo lako. Ramani inachorwa na wasanifu majengo wataalamu ambao wanasomea — wataalamu hawa wanahitimu katika vyuo vinne tu hapa nchi navyo ni Ardhi University (chuo kikuu), na vyuo vya kati Ardhi Institute — Tabora, Ardhi Insitute — Morogoro, Institute of Lands Dar es Salaam.
2. Ufahamu aina ya material ama tofali utakazo tumia, kama ni hydraform, tofali za kuchoma ama blocks, hii ni kwasababu tofali zina tofautiana size ama ukubwa hivyo hata idadi yake itakuwa tofauti. Tofali zipo za aina tatu, ukubwa wake ni (length x width x thickness/urefu x upana x unene)
HYDRAFORM; 90 mm x 240 mm x 40 mm
BLOCK; 450 mm x 230 mm x 130 mm
KUCHOMA; 450 mm x 230 mm x 150 mm
Tumblr media
Hapa tuta tumia mfano wa nyumba hii yenye vyumba viwili-kimoja kikiwa na choo/bafu ndani, sebule, jiko, choo cha wageni na vibaraza viwili; kufanya mahesabu ya tofali zetu.
Hapa kuna hatua mbili za kufuata
1. Tafuta eneo la kuta zote
2. Jumla ya eneo lote la kuta gawanya kwa ukubwa wa tofali
KUTAFUTA ENEO LA KUTA
Hapa tuta tumia kanuni ifuatayo
Eneo = Urefu( wa kuta) x kimo (urefu wa ukuta kwenda juu)
Sasa kujua urefu wa kuta zote, utatakiwa kujumlisha urefu wa kuta zote
Kwenye mchoro wetu pale juu nime weka namba kila kuta hivyo itakuwa kama ifuatavyo {vipimo vipo katika milimita (mm)}.
1 m = 100 cm = 1,000 mm; 1 cm = 10 mm
Ukuta 1= 6,500 mm; ukuta 2 = 9,150 mm; ukuta 3 = 4,000 mm; ukuta 4 = 4,000 mm; ukuta 5 = 9,450 mm
Ukuta 6=11,046 mm, ukuta 7=6196 mm +3200 mm, ukuta 8=9,101 mm, ukuta 9 =3,060 mm, ukuta 10 = 2,900 mm
Sasa uki jumlisha kuta hizo zote unapata jumla ya = 68,603 mm
Eneo la kuta = urefu wa kuta x kimo cha kuta
Hapa kama utajenga nyumba ya kozi 13 maana yake ni kimo cha 3000 mm
Hivyo eneo litakuwa = 68,603 x 3000= 205,809,000 mm
Sasa kumbuka tuna sehemu za wazi ambazo hizi hazihitaji tofali, mfano milango, madirisha na sehemu za wazi za vibaraza
Kanuni ni ile ile urefu x kimo:
Tuna madirisha 6 yenye urefu 2,000 mm & kimo 1,800 mm= 2000 x 1800 sawa na 3,600,000 mm
sasa, tuna madirisha sita yenye vipimo sawa hivyo 3,600,000 x 6 = 21,600,000
Tumia dirisha 1 lenye urefu 1,400 na kimo 1,500 = 1,400 x 1500 sawa na 2,100,000 mm
Tuna dirisha 1 lenye urefu 1,000 na kimo 1,800 = 1,000x1, 800 sawa na 1,800,000 mm
Tuna madirisha 2 yenye urefu wa 800 na kimo 600 = 800x600 sawa na 480,000 mm
480,000 zidisha kwa 2 sawa na 960,000 mm
Tuna milango 9 yenye urefu wa 900 na kimo 2,400 = 900 x 2,400 sawa na 2,160,000 mm
2,160,000 zidisha kwa 9 sawa na 19,440,000 mm
Uwazi wa vibaraza jumla uref 10,010 kimo 2,400 =10,010 x 2,400 sawa na 24,024,000 mm
Jumla ya wazi = 21,600,000 + 2,100,000 + 1,800,000 + 960,000 +19,440,000 + 24,024,000 = 69,924,000 mm
Eneo kamili linalo hitaji tofali za kuta lita kuwa
ENEO LA KUTA — ENEO LA WAZI0 = 205,809,000–69,924,000= 135,885,000 mm
hivyo basi, IDADI YA TOFALI, itakuwa kama ifuatavyo:
Sasa urefu wa msingi wako utategemea na nature ya eneo lakini tuchukulie utakuwa na urefu wa 900 mm, ambapo ni sehemu tambarare (isiyo korofi)
Kumbuka jumla ya urefu wa kuta zote ni 68,603 mm
Kwahiyo 68,603x900 = 61,742,700 mm
Kwahiyo kupata tofali tutalazimika kuchukua jumla ya ukubwa wa kuta ukiwa umetoa uwazi na jumla ya eneo la kuta za msingi kisha tuta gawanya kwa eneo la tofali moja
135,885,000+61,742,700= 197,627,700 mm
Kumbuka tofali ya block lina urefu wa 450 mm na kimo cha 230 mm
Hivyo eneo la tofali ni 450 x 230=103,500 mm
Idadi ya tofali itapatikana kwa 197,627,700mm/103,500mm = 1,909 matofali
Hapa utahitaji kuongeza asilimia kidogo ya tofali kwaajili ya zile zitakazo vunjika na ngazi pia, tutatumia 5%, kwahiyo jumla ni tafali 1909+ 0.05(1909) = 2,004.45 ≈ 2,000 tofali
MAHESABU YA IDADI YA MIFUKO YA CEMENT NA MCHANGA INAYO HITAJIKA KUJENGEA NYUMBA YAKO
hapa tunaingia sehemu nyingine ambayo itahusu ukadiliaji wa idadi ya mifuko ya cement itakayo hitajika kujengea jengo lako.
NB: kumbuka haya huwa ni makadilio, hivyo sio lazima yawe sawa kwa asilimia 100, lakini mara nyingi yanakaribia ukweli halisi kwa asilimia kubwa sana
Tukichukulia mfano wa TOFALI 2,000
Hapa nazungumzia tofali ambazo wengi wanaziita za block, ambazo kitaalamu zinaitwa SAND CEMENT BLOCKS
Hapa tuseme idadi ya tofali za Msingi (inch 6) ni tofali 700
Idadi ya tofali za kuta (inch 5) ni tofali 1300
A: IDADI YA MIFUKO YA CEMENT KWAAJILI YA MSINGI (TOFALI ZA INCH 6)
-Ikumbukwe hapa tofali hizi hujengwa kwa kulazwa
-hivyo tofali hizi zitahitaji cement na mchanga Zaidi kuliko zile za kusimama (inch 5)
KANUNI
Mfuko 1 wa cement unajenga tofali 45 za msingi (inch 6- za kulaza)
Hivyo ukichukulia zile tofali 700 za msingi kwenye ule mfano wetu itakuwa ifuatavyo
Tofali 700 gawanya kwa 45 = 15.5 sawa na mifuko 16 ya cement
NB: (ikumbukwe watu wengine hufanya mfuko 1 wa cement unajenga tofali 50 ama 60 za msingi za kulaza). Hii hufanywa ili kupunguza gharama japo kama ni kwenye kiwanja korofi inaweza kuleta shida.
B: IDADI YA MIFUKO YA CEMENT KWAAJILI YA KUTA (TOFALI ZA INCH 5)
-Tofali hizi mara nyingi hujengwa kwa kusimama hivyo hazili mchanga na cement nyingi kama zile za msingi
KANUNI
Hapa mfuko 1 wa cement unajenga tofali 60 za kuta (inch 5- za kusimama)
Hivyo ukichukulia tofali 1,300 za kuta kwenye ule mfano wetu, itakuwa kama ifuatavyo
Tofali 1,300 gawanya kwa 60 = 21.6 sawa na mifuko 22 ya cement
NB: (ikumbukwe watu wengine hufanya mfuko 1 wa cement unajenga tofali 70 mpaka 90 za kuta, za kusimama), pia hii ni ili kupunguza gharama.
NB: KIPIMO CHA MCHANGA
Mfuko 1 wa CEMENT una changanywa na NDOO 9 kubwa za MCHANGA
Ama mfuko 1 wa CEMENT unachanganywa na NDOO 18 ndogo za MCHANGA
Tumblr media
Katika makala ijayo tutaendelea na kujumlisha gharama za usafirishaji, gharama za malighafi ya kumalizia nyumba (finishing) na nyinginezo.
Tunatoa ushauri wa kitaalam na kufanya ujenzi, usanifu majengo (ramani) & kukadiria gharama za ujenzi. Tafadhali tuandikie maoni (comment) yako hapo chini & kisha washirikishe (share) na wengine makala hii.
9 notes · View notes
simulizihearteyes · 7 years
Photo
Tumblr media
HEART EYES 221 Feroz anatumia muda mwingi kuwa karibu nae, hata kazi nyingi anafanyia nyumbani, baada ya mwezi anarudi katika hali ya kawaida, anajifunza kupitia maelekezo ya mke wa Dr Rafael jinsi ya kumtunza mtoto, anaifurahia sana kazi hiyo, afya yake inarudi kila siku anazidi kuwa mrembo sana She is so healthy Mungu ni mwema nilikua nakula mara moja kwa siku mbili, nilikua nakaa na kiu muda mrefu kila nikimuangalia Sarah napata picha kamili ya uweza wa Mungu, wakati naingizwa chumba cha kujifungua sikua na nguvu hata ya kuongea aliesukuma mtoto sijui ninachokumbuka ni sauti inaniambia nisukume mtoto anatoka kweli akatoka Yamepita mamaa, hakuna mtu atakaekuja kuwagusa wewe na Sarah wangu Belinda ilikuaje? Fele nilimpiga risasi mbili lakini hazikumuua, dereva kumbe ni polisi aliacha kazi kwa kuchukia watu wanavyocheleweshewa haki, hivyo siku ile nilivyomuacha pale aliwakabili wote sababu anamjua Felix ni jambazi aliwafunga kamba akawapeleka kwenye gari, aliingia ndani akamkamata Belinda kiulaini walikua wanajiamini sana ndo maana ile nyumba haikua na watu wengi. Mwenyewe aliwapeleka kituoni akakata pf3 Felix na wenzie wakaenda hospital mkuu wa jeshi la polisi akamuomba arudi kazini baada ya kufanya kazi hiyo bila msaada wa mtu, kwahiyo dereva wako sasa hivi anamanyota karudi kwenye kazi yake, Belinda na Felix na wenzao wote wamefungwa maisha baada ya kukutwa na hatia za matukio mengi sana ya kinyama Duuh Amelala njoo basi Nije wapi Hujui? Feroz anamtekenya wanaanza kukimbizana chumbani kwao You know baby nina uhakika ilinipasa kupitia kote nilikopita ili nistahili kuwa na wewe mke wangu, wewe ni mwanamke mzuri sana sio wa muonekano tuu una kitu ndani yako ambacho kilinifanya nikupende kwa tone la damu kabla macho yangu ya nyama hayajakuona nilikuona moyoni I love you Feroz, uko moyoni mwangu permanently Wanachokozana na kuishia kujenga kwa mara ya kwanza toka ajifungue Nataka niweke mwingine mke wangu Ni sawa tuu mume wangu kama product yenyewe ndo hii niko radhi hata kila mwaka Hahaa Leandra anakuja Tanzania Sarah anapofikisha miezi 6, kama kawaida yake anakuja na kitu kipya cha kuenjoy na familia hiyo, anapokaa wiki tuu anashauri wawe na family vacation....
0 notes
ecoamerica · 15 days
Text
youtube
Watch the American Climate Leadership Awards 2024 now: https://youtu.be/bWiW4Rp8vF0?feature=shared
The American Climate Leadership Awards 2024 broadcast recording is now available on ecoAmerica's YouTube channel for viewers to be inspired by active climate leaders. Watch to find out which finalist received the $50,000 grand prize! Hosted by Vanessa Hauc and featuring Bill McKibben and Katharine Hayhoe!
2K notes · View notes
simulizihearteyes · 7 years
Photo
Tumblr media
HEART EYES 204 Feroz anakifurahia sana chakula hicho Dona umekua chef sasa? Kwanini kaka? Chakula kitamu sana Kapika shemeji Haha Feroz anacheka Anajua kupika toka lini shemeji yako? Dona anampa mkanda mzima unaofanyika siku zote hadi Maisarah kujua kupika Unasemaje? Ndo hivyo kama wiki mbili sasa sipiki mimi anapika mwenyewe Feroz anaenda chumbani anaangalia simu yake alioiacha kwa muda, mara meseji zainaingia mfululizo anasoma saa ni saa 6 usiku, anazifungua na kukuta Dorice kapiga picha za ajabu nusu uchi kamtumia Come save me handsome, you know where to find me Ndo meseji ilioingia baada ya picha hizo anatazama anakuta kama zingine zimeshasomwa na msomaji si mwingine ni Maisarah, simu inaita anapokea Dorice anamuongelesha lugha za mapenzi Dorice it was a moment of weakness understand this Maisarah anahisi kufa kwenye shuka, anainuka anatoka kitandani anaenda kumshika miguu Feroz Feroz I know nimekukosea sana but this is too much, nashindwa adhabu unayonipa nastahili ila nashindwa So what do you want? Nataka ufanye hayo mambo kwa uhuru mi sipaswi kuwa hapa, nimeshatubu sana ila naona imekua ngumu sana Feroz sikulaumu, najilaumu mwenyewe Feroz anamnyanyua mishipa imemsimama kwelikweli Kwanini ulimruhusu Brown Sarah? Nilichanganyikiwa Feroz, aliniambia mambo mengi ya uongo nikamuamini kirahisi Brown alitumia energy na akili nyingi kunikamata Labda ni kweli but kulikua na ulazima wa kuwa mpenzi wake hadi mnafikia kufunga ndoa? Maisarah anamueleza jinsi alivyoishi na Brown hadi siku ya harusi Umeamua kunidanganya? Hapana huo ndo ukweli sikuwa nakaa nyumba moja na Brown na Brown hajawahi kufanya mapenzi na mimi zaidi ya kisses tuu You mean? Feroz anauliza kisha anajifyonza, Maisarah anaenda kitandani anamuonyesha Feroz meseji aliotumiwa na Brown asubuhi ya siku iliotakiwa kuwa harusi "Sarah I can't wait to make love to you for the first time tena ukiwa mke wangu halali hii siku nimeisubiri kwa nguvu na akili zangu zote nitakupa mapenzi hujawahi kupewa na yeyote, nitakupa dunia mpenzi wangu" Feroz anasoma meseji zingine ambazo nyingi zinaonyesha jinsi Brown alivyokua na hamu ya kujenga na Sarah, anaweka simu ya Sarah pembeni anamkumbatia kwa nguvu Mke wangu.....
0 notes
simulizihearteyes · 7 years
Photo
Tumblr media
HEART EYES 153 Feroz anamkumbatia kisawasawa Maisarah, anamziba mdomo kwa mabusu ya kimapenzi anamwambia Baby tulielewana tusiongelee haya mambo, kwanza kwa sababu sio mambo mazuri ya kukumbuka, hatuwezi kufuta kilichotokea lakini tunaweza kubadilisha ushetani huo kwa kuwa kama hivi tulivyo, pili mimi nipo Maisarah nakupenda na katika maisha nitakayoishi sijui kama nitaweza kuruhusu mtu akufanye chochote cha kukujeruhi mpenzi Nikuite nani? Vyovyote Mchumba? Ndo cheo cha kwanza ulichonopa Mpenzi? Wewe tuu My love? Haha jichagulie Baby? Litakalokufaa Mume? Haha mimi najua wewe ni mke kazi kwako kupigia mstari Nikisema nakupenda Feroz itakua imekamilisha maelezo ya jinsi ninavyojisikia? Unajisikiaje mke wangu? Najisikia raha, nina furaha, nina amani, naburudika unaponishika kila sehemu ya mwili wangu, mapenzi unayonipa sitamani kuwa mbali na wewe labda nikuite maisha yangu Unanipa raha sana Maisarah Sizishindi raha unazonipa mume Umesema nani? Mume What? Mume Nikupe nini? Nifundishe kuwa mke unaemtaka Una kila ninachokitaka mama huhitaji kwenda course Si mama anasema mimi sijui mambo muhimu ya mwanamke? Utajua taratibu Kwahiyo na wewe unajua kuwa sijui? Sijasema hivyo mi naona kila kitu kinaenda sawa mpenzi, usijipe hayo mawazo mi siko huko, actually ninachokitaka sasa ni hiki Mtoto wa kimanyema anamtepetesha mtoto wa kiha, anaachana na kujenga nyumba ya kawaida anataka ajaribu kujenga ghorofa anamuweka juu yake akiwa tayari kwa kulipokea zege, Feroz anamuuliza Baby Mmh Unajua kucheza? Kucheza nini? Chochote mziki au ngoma? Najua ndio So unaweza kukata? Maisarah anacheka anaitikia kwa kichwa, Feroz ni muwazi toka zamani na wapenzi wake wote wa zamani walifunikwa na Leandra kwa nyonga Give it to me baby nataka nikuone unavyokata Ok Maisarah anamuonyesha Feroz kuwa anaelewa zege halilali japo ni mara yake ya kwanza anaachia show bila msaada yaani ni kama kamwaga zege bila vibarua, anabaki na mshangao kwani kila anavyomuweka Maisarah anaenda na kipindi Umewazidi wote wife Kina nani? Wote niliowahi kuwa nao Kitu gani? Kila kitu Maisarah anapitiwa na usingizi kifuani kwa Feroz akiwa kajaa kichwa kwa sifa nyingi alizomwagiwa na Feroz Maisarah your the sweetest..
0 notes
simulizihearteyes · 7 years
Photo
Tumblr media
HEART EYES 151 Feroz anamsifia huku anamkumbatia na kumbusubusu hali inayomfanya angalau akae sawa Kwani tukienda kukaa na mama kuna tatizo? Hamna tatizo baby please muache mama aitendee haki nafasi ya kuwa mama kwako, najua anawaza mambo mengi hasa akifikiria umetoka tuu kwenye matatizo halafu nikuchukue anawaza jinsi ambavyo atakua mbali na wewe hata kama tunaishi nyumba moja, tumuelewe mama hajaomba muda mrefu Maisarah, hata hivyo tunaweza kuonana kila siku siwezi kulala bila kuingalia hii sura nzuri na kuibusu hii midomo mitamu Feroz anakamilisha sentensi yake kwa vitendo, Maisarah anajitahidi kuelewa, wanatoka wameshikana mikono wanamkuta mama barazani Mama natoka na mchumba sijui ananipeleka wapi? Hee baby unanishitaki tena Si sijui tunaenda wapi? Mama Maisarah anawaangalia tuu jinsi penzi lao lilivyo dhahiri, Feroz anatoa maelezo Mama tunaenda kula, kisha tutaenda shopping hatutachelewa sana Sawa niwapikie chakula cha jioni Hapana mama tutakuketea na wewe chakula Ahaa mi sitaki mavyakula yenu nyie kama mnakula kuleni mi nitakula ugali wangu, Sarah hasira zimeisha? Mamaa Mama nini, baba yako kakurandisha vibaya hasira hasara Nimeelewa mama basi Wanaondoka wanaenda mgahawa mzuri wanakula, Feroz anampeleka Maisarah shopping babkubwa anatumia zaidi ya milioni 2 kumnunulia tuu nguo kitu ambacho hajawahi kumfanyia mwanamke yoyote, kichwani kwa Maisarah yeye anaona sawa tuu hahisi kwa namna yoyote kuwa anamtumia Feroz wala hamdhanii Feroz kuwa anatumia pesa kuwa nae. Anachokifikiria sana ni kujaribu kwenda na wakati ili asimuabishe Feroz, wakiwa shopping anawaona wadada tofauti tofauti na hakuna hata mmoja aliesuka twende kilioni kama yeye anajishitukia na kwa kuwaona mabinti wenzie walivyo anaanza kujenga hamu ya kuwa mrembo. Huo unakua mtoko wake wa kwanza toka apone maana sehemu pekee waliokuwa wanaenda ni kwa Dr Rafael Umechukua kila kitu unachotaka mpenzi? Ndio asante Chochote kwa ajili yako Mchumba nataka kusuka kama hawa wasichana Feroz anaangalia saa yake muda umeenda Usijali weekend nitakupeleka saloon moja wakutengeneze unavyotaka Sawa Nimekuzoea na nywele zako hizo baby Mmh mbona sioni hata mmoja mwenye nywele za hivi? Sababu wewe ni wa tofauti....
0 notes
simulizihearteyes · 7 years
Photo
Tumblr media
HEART EYES 148 Machozi ya furaha yanamtoka mama Maisarah Sikuwahi kudhani kama siku hii itafika Mama Maisarah anasema maneno hayo kisha anawakumbatia wote wawili Sarah mwanangu umepona? Nimepona mama Asante baba Mama Maisarah anamshika mkono Feroz na kumshukuru kwa magoti, Feroz anamnyanyua Hapana mama, hapana usifanye hivyo mimi kama alivyo Maisarah ni mwanao, mzazi kwa sababu yoyote hastahili kumpigia mtoto magoti Najua ila sina cha kukulipa mwanangu kwa furaha ulioileta nyumbani kwangu Nami sina jinsi ya kukuonyesha amani na furaha ninayokuwa nayo kila ninapowaona Wanaongea kidogo hali inakaa shwari, mama Maisarah anaenda kupika na kuwaacha wapenzi wapya wafurahie muda wao, Feroz anampa ahadi nyingi Maisarah anamtamani sana lakini hana jinsi hawezi kufanya lolote pale Wanangu chakula tayari, mimi naenda kulala msibani, baba usichelewe sana kuondoka Mbweni mbali Sawa mama asante Sarah ufunge milango na ukiwa na tatizo nipigie Sawa mama Mama Maisarah anamchukulia mwanae kama mbovu kwani hamfundishi kufanya chochote, yeye ni kula na kulala hapiki, hafui, hasafishi nyumba yaani kazi zote mama yake anafanya. Wanakula chakula kitamu, wanakaa kwenye kochi Feroz anatazama silaha za Maisarah anahisi atabaka Mimi niende mpenzi wangu, nitakuona kesho mapema Mbona bado mapema? Nataka kesho nikuone asubuhi sana Kaa kidogo Ok Hali ya kugusanagusana inawasha moto kwa Feroz Maisarah kufanya mapenzi ni sehemu ndogo tuu ya mapenzi, nakutamani sana nikiendelea kukaa hapa nitashindwa kuvumilia Niliumia sana siku niliobakwa Shhh mimi ni mpenzi wako, kubaka sio kufanya mapenzi Feroz anamlewesha kabisa Maisarah hadi anaelemewa, wanajikuta wamepiga hatua ya haraka palepale sebuleni kwao, Feroz anaweka msingi imara, anafurahia kukuta hali ambayo anaihitaji kwa kipindi chote atakachoishi Umeumia mke wangu? Feroz anamhoji Maisarah huku anambusu mgongoni anapomaliza kujenga ukuta, Maisarah anaitikia kwa kichwa Mmh mmh Yaani hajaumia Unajisikiaje? Najisikia kukaa hivi tuu Vipi? Feroz anamtekenya wanacheka, wanakaa kama lisaa wanarudia tena ujenzi unaomfanya Maisarah apate sababu za kumpenda zaidi Feroz Baby nilimuahidi mama nitawahi kuondoka kwa style hii atanikuta hapa sio fresh.....
0 notes