Tumgik
#anapenda
swahilibible · 4 months
Photo
Tumblr media
Soma Biblia: beblia.com 🙏
Sema Amina kama unakubali
Matendo ya Mitume 14:19-20
beblia.com
2 notes · View notes
rwizakakiza · 2 months
Text
Somo: ACHA VISINGIZIO, SIMAMA UBADILISHE MAISHA YAKO.
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
Fuatilia YouTube.
Https://youtube.com/@Rwizakakiza?si=DDoZgDdxlif_X-nD
Tumblr media
Sehemu VI. (VISINGIZIO).
BAADHI YA VISINGIZIO SITA (6) VINAVYOZUIA KUFANIKIWA KWAKO.
5. HULKA YA MTU.
Kisingizio cha tano ni hulka MBAYA ya mtu. Hulka ni tabia ya mtu ambayo amezoelea mtu kuifanya na kuwa sehemu ya maisha yake.
Baadhi ya hulka mbaya hizo ni kama:-
1. TABIA YA UVIVU
Mtu mvivu kufanikiwa ni vigumu na kwa sababu, mtu huyu anakuwa na visingizio vingi, yaani hataki kujishughulisha hata kama fursa zipo.
Hata akipata Fedha, mawazo yake...Kutumia zote atapata nyingine....anapenda kutuma wenzake ila asitumwe yeye..... Ni Mshauri mzuri, lakini yeye achukui gharama ya kuishi anachoshauri, nk.
....Matakwa yake mtu mvivu HUMFISHA, Kwa maana mikono yake HUKATAA kufanya kazi.
....Mithali 21:25....
2. TABIA YA KUTOJIPENDA.
Mtu mwenye tabia hii ana visingizio vingi vinavyoonyesha kushindwa kwake.... Kama mtu hajipendi, hawezi kupenda kufanikiwa na kama hapendi kufanikiwa mwenyewe pia Hawezi kufurahi mwingine afanikiwe. Mtu kufikia hatua ya kumpenda mtu lazima kwanza ajipende mwenyewe, kiwango anachojipenda ndicho ampende jirani yake.
.....Mpende jirani yako KAMA nafsi yako.
.....Mathayo 22:39......
3. TABIA YA UHARIBIFU.
Mtu mwenye tabia hii, inaanza taratibu labda kwa sababu ya uvivu au kutojipenda inasababisha ndani yake awe na roho za uharibifu, na asipohudumiwa inageuka na kuwa tabia ya mtu.
Yaani mtu kuua mwingine ni kitu cha kawaida,......mtu mwingine, Ugomvi ni sehemu ya maisha yake,..... Mtu mwingine kila anachokigusa kinaharibika, nk. Watu wa namna hiyo kufanikiwa kwao ni kugumu, chunguza familia zilizo na Migogoro, Hakuna patano bali magomvi na kuuana.
Lazima ujifahamu, hulka yako isiwe kisingizio cha kutofanikiwa kwako, tambua chukua hatua za kuhudumiwa mpaka uwe huru, Amina.
6. KUAMINI MANENO YA KUKATISHA TAMAA.
.......Tutaendelea.......
Rejea
‭‭ "Prove yourselves doers of the word [actively and continually obeying God’s precepts], and not merely listeners [who hear the word but fail to internalize its meaning], deluding yourselves [by unsound reasoning contrary to the truth]".
.....James 1:22.....
Ev. Erasmus Pascrates Kakiza
(WhatsApp: +255 782 546 914)
@2024 The year of my shining.
1 note · View note
mateoshija · 4 months
Text
Mungu anapenda wote wafikie toba
Bwana hakawii kuitimiza ahadi yake, kama wengine wanavyokudhani kukawia, bali huvumilia kwenu, maana hapendi mtu ye yote apotee, bali wote wafikilie toba. 2 Petro 3:9
View On WordPress
0 notes
joackcompany · 1 year
Text
TUNAUZA SIMBILISI/PIMBI WE SELL GUINEA PIGS - DAR ES SALAAM + MIKOANI
Call/Text/WhatsApp: 0714 63 63 75
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Simbilisi ni Mnyama mdogo kama panya buku ambae huwa anafugwa na binadamu lakini asili yake ni porini.
Simbilisi anasura kama Sungura au panya buku lakini utofauti wake yeye na Sungura au panya buku yeye hana mkia.
Simbilisi anakuwa mkubwa baada na kupevuka vizuri akiwa na umri wa miezi 3 hadi 5
Simbilisi anabeba mimba kwa muda wa siku 72 was na kuzaa, na anapozaa huweza kubeba mimba nyingine papo hapo.
Simbilisi anaweza kuzaa watoto kuanzia wawili hadi watano kwa mara moja.
Mbali na kuzaa watoto wengi mara nyingi, pia ana tabia ya kupenda kujamiiana sana.
Simbilisi anaweza kujamiiana zaidi ya mara 10 kwa siku, ingawa hufanya hivyo akiwa amejificha sana.
Simbilisi pia, licha ya kuwa na kimo kidogo kama panya buku, ana uwezo wa kumpiga sungura na ujanja wake akakimbia.
Sungura na simbilisi wanaweza kuishi banda moja Wanaishi banda moja lakini tahadhari ni kwamba simbilisi ni mkorofi.
Simbilisi hupenda kukaa kwenye mashimo na anapenda hali ya joto ndiyo maana mara nyingi huwa amejikunyata.
Somo linalofata tutaeleza faida za #simbilisi Kwa wanaojua faida za simbilisi karibuni napenda kuona comments zenu
#simbilisi #pimbi #sili #guineapig #ufugajiwasimbilisi #tunauzasimbilisi #panya #panyawamahabara #wanyamawamahabara #labanimals #simbilisiwanauzwa
Office zetu zipo Tegeta, @Wazohill-Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75(WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7
#joack #joackcompany #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #ufugaji #kuku #broiler #daressalaam #tanzania #mifugozazibar #vifarangazanzibar #dodoma #tanzania #morogoro
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
Tumblr media
0 notes
jqbenay · 1 year
Photo
Tumblr media
TITHE / ZAKA / FUNGU LA KUMI/ 10% / °Kulingana na maandiko, Zaka inatakiwa kuwa 10% ya kile ambacho mtu wa Mungu anapokea. Iwe ni mshahara au mapato. °Tunapotoa Zaka Kwa Mungu, hua inamfurahisha na ni Moja wapo ya njia ya kuonyesha kwamba tunamshukuru Kwa yote mema aliyotuwezesha kuyapata. °Mtu wa kwanza Kabisa kumtolea Mungu Zaka alikua Baba wetu wa Imani, Abrahamu. Naye alitoa Kwa aliyekuwa Mfalme na Kuhani wa Mungu aliyeitwa Melkizedeki (Mwanzo 14:19) na baada ya hapo, ikawa ni kama desturi Kwa Kila anaye tokana na uzao wa Abrahamu. •UMUHIMU WA FUNGU LA KUMI 1,Fungu la Kumi hufanya tuzidi kufanikiwa zaidi (Mwanzo 14:19) 2,Ulinzi, dhidi ya chochote ambacho huenda kingeleta uadui kwetu (Mwanzo 14:20) 3,Inafanya tunazidi kupata thawabu Kwa Mungu na pia tunazidi kuwa karibu na Mungu (Mwanzo 15:1) 4,Malaki 3:10-12 Inafanya Tusipungukiwe na Chochote, Milango inafunguliwa mara dufu, Inatupigania, Inatupa neema ya kupendeza au chochote kitakachotokana na sisi, kitakua kizuri tu! (Biashara,Kazi,Ndoa,Watoto,Afya...nk) •MAMBO YA KUZINGATIA (TUNAPOTOA ZAKA ZETU) 1,Mungu anapenda tuwe watu wa haki, rehema, unyenyekevu, tunapomtolea Zaka zetu (Mika 6:8) 2, Mathayo 23:23 Pia inasisitiza tupende Haki, rehema, Amani wakati wa matoleo ya Zaka. 3,Inatakiwa kuwa Jambo la kwanza Kabisa kutolewa pindi tu unapopokea malipo yako au baraka Zako au mshahara wako au mazao yako. 4,Anyaekosa kutoa fungu la Kumi, mambo kwake hua hayamwendei sawa Kabisa manake hua anamuibia MUNGU iliyo Haki yake. •VIFUNGU VYA BIBILIA (kuhusu ZAKA) (Old Testament Books) 1.Mwanzo 14:19-20 2.Mwanzo 28:20-22 3.Kutoka 35:5 4.Kutoka 35:22 5.Levitus 27:30-34 6.Numbers 18:21 7.Numbers 18:26 8.Deutronomy 12:5-6 9.Deutronomy 14:22 10.Deutronomy 14:28-29 11.Chronicles 31:4-5 12.Nehemiah 10:35-37 13.Proverbs 3:9-10 14.Proverbs 11:24-25 15.Amos 4:4-5 16.Malachi 3:8-9 17.Malachi 3:10-12 (New Testament Books) 1.Mathew 6:1-4 2.Mathew 23:23 3.Mark 12:41-44 4.Luke 6:38 5.Luke 11:42 6.Luke 18:9-14 7.Corinthians 16:2 8.Corinthians 8:2-3 9.Timothy 6:6-8 10.Hebrews 7:1-2 So biblically vitabu 27 vimeongelelea kuhusu Tithe. (Jitahidi Uvisome tafadhali) Part 1 https://www.instagram.com/p/ClyiJc6KqOy/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
lemburiskivuyo · 2 years
Text
Nguzo 7 za Mafanikio Katika Elimu, Biashara
Nguzo 7 za Mafanikio Katika Elimu, Biashara
Utangulizi Mafanikio ni hali ambayo kila mtu anapenda kuwa nayo na kuyafikia kila mara. Mafanikio humfanya mtu afarijike, ajisikie yuko salama, afurahi na kusonge mbele kwa ujasiri zaidi. Mafanikio humfanya mhusika kuwapenda wengine na kuwa mkarimu. Ukikosa mafanikio unaweza kuwa na hasira, kukata tamaa, kutawaliwa na mfadhaiko wa akili, ulevi wa kupindukia, usinzi na kwa ujumla kuwa na tabia…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
serengeti-dc · 2 years
Photo
Tumblr media
TANGAZO LA MAFUNZO YA SENSA KWA WALIOCHAGULIWA WILAYA YA SERENGETI 2022 Mwenyekiti wa Sensa wilaya ya Serengeti anapenda kuwatangazia wote waliochaguliwa katika Nafasi za Ukarani,Usimamizi wa Maudhui, na Usimamizi wa Tehama kuhudhuria Mafunzo ya Sensa yatakayofanyika katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Mugumu,Tarehe 29.07.2022 siku ya ijumaa. Kuanzia saa 1:00 Asubuhi.Fika bila kukosa ukiwa Ukiwa na Kitambulisho chako cha Nida ,Mpiga Kura ,Cheti cha kuzaliwa,vyeti vya kuhitimu kidato cha nne/sita/chuo. Tembelea Tovuti yetu www.serengetidc.go.tz (at Serengeti District) https://www.instagram.com/p/CgjiUDsNoTB/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
kaniki666 · 2 years
Photo
Tumblr media
kiLa m1 anaPenda ShaVu ,, kama FuTa La aLizeTi😎😎 ..NAIPENDA HELA SIO KUVAA KI #50_cent .... #tusomane @mwanachemba_tz 🔥 #eastzuu https://www.instagram.com/p/CblF25Lr7Nl/?utm_medium=tumblr
0 notes
swahilibible · 7 hours
Photo
Tumblr media
Soma Biblia: beblia.com 🙏
Sema Amina kama unakubali
2 Wakorinto 8:9
beblia.com
0 notes
zephilinecom · 3 years
Photo
Tumblr media
WACHEPUKAJI WENGI WANATABIA HIZI 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 1. Hachezi mbali na simu yake kila wakati. 2. Inbox na sending items hufutwa kila wakati. 3. Ukimuomba simu yake ghafla lazima akwambie hebu kwanza……. 4. Kamwe haiiti always vaibration. 5. Namba nyingi ha save. 6. Kuna simu hapokei hata iweje…. anapenda sms zaidi 7. Majina mengi kwenye simu yameseviwa kwa majina ya kufikirika. 8. Muda mwingi ni mtu wakujihami. 9. Anapenda password na anabadili mara kwa mara. 10. Akiazima simu yako, akitumia tu anafuta dial no haraka. 11. Always yuko na simu….. hadi bafuni ikibidi. 12. Anajazba ukimuuliza chochote kuhusu simu…. anajishtukia. 13. Akiwa anachati anakuangalia mara kwa mara kiwiziwizi 14. Hana jeuri ya kukuweka profile picture na akikuweka humalizi masaa anakudampu huko Hapa kuna ukweli asilimia millioni moja kabisa. Share na washikaji zako 😜😜😜😜😜 #ChekanaZephiline https://www.instagram.com/p/COK-FlLJOCc/?igshid=1k86s7tc6vrf8
0 notes
rwizakakiza · 6 months
Text
Https://www.youtube.com/@Rwizakakiza
(Share &. Subscribe)
UPONYAJI WA NAFSI (MOYO)
Sehemu .X.
MATOKEO YA MAUMIVU YA NAFSI (MOYO).
Tuendelee na
(6). KUSHINDWA KUTAWALA TAMAA ZA MWILI
.....Mtu kushindwa kutawala hisia zake, kutawala jinsi yake, kujitawala wakati wa kula, kutamani ngono kila muda.
(7). KUKWEPA MAJUKUMU.
....Mtu wa familia, hataki kuangaikia familia yake, anakwepa kutimiza wajibu wake. Ana visingizio vingi sana, Ana sababu nyingi, Kiasi kwamba watu wanaacha kutambua uwepo wako yaani hawaoni tena umuhimu kwa sababu kukimbia majukumu.
(8). UKIMYA /KUONGEA KUPITA KIASI.
.....Mwenye maumivu ya nafsi, anaweza kuwa na tabia ya ukimya au kujitenga na watu, kukaa mwenyewe, kufanya vitu vyake mwenyewe, Au kuongea kupita kiasi, kwa sababu ya maangaiko ya moyo anatamani akubalike, anataka aongee, usimkosoe na asikilizwe yeye tu.
(9). MAGONJWA SUGU.
.....Uvutaji wa sigara, madawa ya kulevya, Ulevi, nk. Presha na vidonda vya tumbo kwa sababu ya msongo wa mawazo.
(10). MASENG'ENYO.
....Hii inasababishwa na kukosa utulivu wa ndani, au wakati ukuaji kuzoea mazingira hayo ya kusema watu.
(11). KUTOJIPENDA.
....Mtu inafika mahali anajikataa, hajipendi yaani anajichukia mwenyewe. Akiambiwa mzuri anakataa, akiambiwa umependeza anaona anadhihakiwa. Hatambui kupendwa wala kuthaminiwa, anaamua kujikataa na kuona hana msaada wowote kwenye jamii kwa hiyo anaweza kuamua kujiingiza kwenye wizi, kupiga debe, kuishi maeneo duni na anakwepa kufanya mambo mazuri.
(12). KUPENDA SIFA.
.....Mtu mwenye maumivu ya nafsi anapenda sifa yaani kusifiwa, anataka atambulishwe, ajulikane uwepo wake hayupo tayari kutulia.
Mfano
......Kama mpo kwenye tukio fulani akatambulishwa au hajatambulishwa atakachokifanya ni Kujipitisha pitisha mbele za watu, wamwone au ataongea na huyu aende kwa huyu ili ifahamike anajulikana na watu wengi, Ukweli ni maumivu tu.
Tambua Wewe ni wa THAMANI machoni pa MUNGU na anakupenda ulivyo, acha kujichukulia kawaida.
.....Isaya 43:1-5....
💬Tutaendelea....
Rejea
Because you are precious in My sight, You are honored and I love you, I will give other men in return for you and other peoples in exchange for your life.
.....Isaiah‬ ‭43:4‬.....
@2023 the greatest Glory for me.
1 note · View note
redsnowsanaa · 3 years
Quote
Sana'a anapenda sanaa sana.
Kelvin Nduma 
0 notes
joackcompany · 1 year
Text
TUNAUZA SIMBILISI/PIMBI WE SELL GUINEA PIGS - DAR ES SALAAM + MIKOANI
Call/Text/WhatsApp: 0714 63 63 75
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Simbilisi ni Mnyama mdogo kama panya buku ambae huwa anafugwa na binadamu lakini asili yake ni porini.
Simbilisi anasura kama Sungura au panya buku lakini utofauti wake yeye na Sungura au panya buku yeye hana mkia.
Simbilisi anakuwa mkubwa baada na kupevuka vizuri akiwa na umri wa miezi 3 hadi 5
Simbilisi anabeba mimba kwa muda wa siku 72 was na kuzaa, na anapozaa huweza kubeba mimba nyingine papo hapo.
Simbilisi anaweza kuzaa watoto kuanzia wawili hadi watano kwa mara moja.
Mbali na kuzaa watoto wengi mara nyingi, pia ana tabia ya kupenda kujamiiana sana.
Simbilisi anaweza kujamiiana zaidi ya mara 10 kwa siku, ingawa hufanya hivyo akiwa amejificha sana.
Simbilisi pia, licha ya kuwa na kimo kidogo kama panya buku, ana uwezo wa kumpiga sungura na ujanja wake akakimbia.
Sungura na simbilisi wanaweza kuishi banda moja Wanaishi banda moja lakini tahadhari ni kwamba simbilisi ni mkorofi.
Simbilisi hupenda kukaa kwenye mashimo na anapenda hali ya joto ndiyo maana mara nyingi huwa amejikunyata.
Somo linalofata tutaeleza faida za #simbilisi Kwa wanaojua faida za simbilisi karibuni napenda kuona comments zenu
#simbilisi #pimbi #sili #guineapig #ufugajiwasimbilisi #tunauzasimbilisi #panya #panyawamahabara #wanyamawamahabara #labanimals #simbilisiwanauzwa
Office zetu zipo Tegeta, @Wazohill-Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75(WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7
#joack #joackcompany #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #ufugaji #kuku #broiler #daressalaam #tanzania #mifugozazibar #vifarangazanzibar #dodoma #tanzania #morogoro
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
Tumblr media
0 notes
serengeti-dc · 2 years
Photo
Tumblr media
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti ,anapenda kuwataarifu waombaji wa Wote wa Kazi Walioomba kazi ya Mtendaji wa Kijiji III,Mtunza kumbukumbu Daraja la II,Katibu Mahsusi Daraja la III Na Madereva Daraja la III,Nafasi zilizotangazwa kupitia Tangazo la Tarehe 24.mei.2022 kuwa usaili unatarajia kufanyika kuanzia tarehe 11.07.2022 hadi 14.07.2022 Fungua kiambatanisho Cha Majina(LINK KATIKA BIO) https://serengetidc.go.tz/storage/app/media/uploaded-files/KUITWA%20KWENYE%20USAILI%20SERENGETI%202022.pdf Kazi Iendele. https://www.instagram.com/p/CflxIZ_tAKj/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
swahilibible · 1 day
Photo
Tumblr media
Soma Biblia: beblia.com 🙏
Sema Amina kama unakubali
Wakolosai 3:14-15
beblia.com
0 notes
newscheckz · 3 years
Text
I was conned 2Million by a Doctor
New Post has been published on https://newscheckz.com/i-was-conned-2million-by-a-doctor/
I was conned 2Million by a Doctor
Tumblr media
Here is my testimony..
I was conned by a Doctor, a whole holder of a Bachelors of Medicine and Surgery.
Particulars of the Con that amount to >2Million. Mimi kama wakili mwitu niliweka evidence ya transactions- kila kitu
1. Business venture- unakaribisha mtu kwa biashara because hana uwezo. Mimi kama msamaria mwema na mwenye mapenzi mingi nikakuwa Mother Teresa. Wee, hadi wa Leo amezama?? , na aliniacha na madeni ya vendors etc. Hapo kwa biashara I put in >1M
2. Nikanunua 5*6 Mahogany bed and Dr. Matress because mamake ana shida ya mgongo. Mimi nani, sijawahi lipwa..p.s- Matress na Kitanda was Almost 70K
3. Binadamu akahamia Nrb bila kazi, mimi nani..Nikalipia movers >50k, nikalipa rent na deposit for 2 months. Nikaendelea kulipa for other months on end mpaka I realised I had been cat-fished! Jua mwaka umeshaisha!Nimeinua??
4. Familia wakapata mashida, Stellah akatengeneza excell sheet ya Shopping plus pocket Money ya Familia( wako >3 @ 15-20k). Pesa hiyo sijawahi ona.
5. Binadamu akaja tena, eti nephew and niece hawana fees. Stellah nani, nikalipa Many times! Si akiba haiozi..weeee? hiyo akiba ilioza..
6. Kidogo, Binadamu anataka wheels, Stellah nani..Chukua gari, ile I service, i fuel etc. Yeye ni dere tu wa kuenjoy. Huku mimi i use cabs, because, support! Nakuambia, warogi wako??
7. Punde si punde Binadamu wanaenda kuoa.. Oh babe, naomba pesa I shall refund! Oi!! You know the drift, ilizama..?
8. Binadamu lifestyle alikuwa anapenda ya gharama. Stellah nani, here is my card. Ukipata dough utarudisha!! Ahh Yesu, nikikosea nani??
9. Usitake kujua I had to frequently paid for the human��s mother’s medical Bills as well as facilitate pesa ya kujishikilia!!
10. Oh, last plan Binadamu alikuwa nayo was to make me put money into a German machine that he wanted. Yesu akanikumbuka, nikafunguliwa macho! At least my money was saved.
11. Every gift this human bought me was finaced by another Woman! Nikijiskia nichome manguo na vitunyingi..Btw, ndugu catfished 8 of us. The comned populations had lawyers, Doctors and public health practitioners! Nimesalenda??
Niko hapa nangoja miujiza!
Muniombee????
Na mujue huyu Binadamu anatoka NyaKach, 2 hours from Kisumu; na sio Nigeria??
The worst part of all this is that I am slowly losing faith in humanity! How someone plans such evil, and executed smoothly without an iota of a conscious still baffles me!
Anyway, I have since risen from the ashes and recovered!
0 notes