Tumgik
tanzaniteplatnumz · 2 years
Photo
Tumblr media
"Mama nisamehe siwezi kula, kichwa kinaniuma sana" Ni maneno ya mtoto Neema kabla ya kufunga kauli, kupata ulemavu wa mwili na kuwa kipofu hadi leo hii. Hujafa hujaumbika . Mtoto Neema amezaliwa salama miaka minne iliyopita, akakua hadi miaka mitatu, akawa na marafiki kama watoto wengine. Akaanza kuumwa hivi karibuni alipogundulika na saratani ya mishipa ya kichwa . Msaada wa dawa na chakula unahitajika kwa familia hii kwani baba yake amemtelekeza mtoto. Mama hana shughuli yoyote inayompatia kipato-anaitwa Salama Usikose Kisa kamili @itvtz kwenye Tanzania Yetu kikiongozwa na mtangazaji mahiri wa vipindi vya jami, mwanahabari na mwanajamii Unayemfuata #wasafitv #diamondplatnumz #cloudstv https://www.instagram.com/p/Cev72IRqEPf/?igshid=NGJjMDIxMWI=
4 notes · View notes
tanzaniteplatnumz · 2 years
Photo
Tumblr media
Hiii https://www.instagram.com/p/CcYDvNvKt7f/?igshid=NGJjMDIxMWI=
1 note · View note
tanzaniteplatnumz · 2 years
Text
Tumblr media
Tanzanite Platnumz 🔥🔥
2 notes · View notes