Tumgik
Tumblr media
Ili uweze kupunguza uzito mkubwa unahitaji, miongozo ya lishe sahihi, elimu ya kutosha juu ya lishe na mwili wako pamoja na hamasa (motivation). Hamasa humfanya mtu azidi kutekeleza kwa juhudi kile alichojifunza bila kuchoka. Sasa tumekuletea WEIGHT LOSS CONTEST, hii itakusaidia sana wewe ambae uko katika safari ndefu ya kushusha zaidi ya 20kg. Shindano hili litakua linafanyika kila baada ya miezi miwili mshindi anaibuka na zawadi nono ya zaidi ya 200,000, pia kila wiki kutakua na zawadi ndogo ndogo za kumuhamasisha mwanafunzi wetu. Lengo ni kukuhamasisha wewe uweze kujitahidi angalau uibuke katika 10 bora na matoeko yake unajikuta umeimarika kiafya na muonekano unaotaka. Sisi tutakupatia mongozo kila baada ya siku 21 na kila mongozo tunategemea upungue 4kg-7kg. Ni lishe tu, hatuna dawa, wala mazoezi, tunaimani miongozo yetu ya lishe wala hauhitaji kujinyima kula. Huna haja ya kushinda njaa. Jiunge katika shindano hili kwa 10,000 tu ndani ya miezi miwili. Tuma neno UZITO kwenda whatsapp namba 0757 020 457 Ingia instagram yetu ujionee waliofanikiwa @weightlosschallenge.tz (at Arusha, Tanzania) https://www.instagram.com/p/By4nOYjnp_k/?igshid=nxcpl3ffdbx9
0 notes
Tumblr media
@weightlosschallenge.tz (at Arusha, Tanzania) https://www.instagram.com/p/BxzcmziHZLl/?igshid=t5p4k0bzvp98
0 notes
Tumblr media
92kg - 79kg Iko hivii, katika kila jambo la mafanikio unalotaka lazima uweke juhudi na uthubutu. Wote unaowaona wako "FIT" wanapendeza wameweka juhudi. Program hii ni mkombozi wako, usiseme nitaanza kesho bali anza leo. @weightlosschallenge.tz (at Arusha, Tanzania) https://www.instagram.com/p/BwRinErBdYu/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1k9kj1witcx52
0 notes
Tumblr media
@weightlosschallenge.tz (at Arusha, Tanzania) https://www.instagram.com/p/BwE1NaYnfAL/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=hfd3eb4d5lzc
0 notes
Tumblr media
Tuma neno UZITO kwenda whatsapp namba 0757 020 457 @weightlosschallenge.tz (at Arusha, Tanzania) https://www.instagram.com/p/BwEiTjinYpV/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=wxwu7pokyrg
0 notes
Tumblr media
Unamkumbuka dada yetu kutoka Dar es salaam. Huyu alipungua kwa kasi sana ndani ya siku 36 alikuja na matokeo haya. @weightlosschallenge.tz (at Arusha, Tanzania) https://www.instagram.com/p/BwCPwlVHavN/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=bpwx3fewnff1
0 notes
Tumblr media
Unamkumbuka dada yetu huyu? Huyu ni dada yetu kutoka Dar es Salaam, alianza kwa kusua saua, kilo hazikua zikishuka kwa haraka ila nilipomwambia aachane na mizani badala yake ajipime kwa nguo tu. Alikaa zaidi ya mwezi mzima alipopima alijikuta mapeta matokeo makubwa sana na hata picha lipoziunganisha zilimpa faraja sana. (at Arusha, Tanzania) https://www.instagram.com/p/BvvrHE3nIjt/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=ih1smmzt25no
0 notes
Tumblr media
Huyu ni dada yetu kutoka mkoa wa Mwanza, ilikua vigumu sana kuamini kama kweli angeweza kupunguza uzito mkubwa, alifanya na kuacha mara kadhaa ila siku moja aliniambia "Kesho naanza na sitarudi nyuma mpaka nione naishia wapi" baada ya miezi mitatu alinipata surprise hii Endelea kufuatilia post inayofuata @weightlosschallenge.tz (at Arusha, Tanzania) https://www.instagram.com/p/Bvt3O3nnPrI/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=163fe9tx7bdch
0 notes
Tumblr media
@weightlosschallenge.tz (at Arusha, Tanzania) https://www.instagram.com/p/BvtyE4hnmuW/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=q8ech6cqunjb
0 notes
Tumblr media
From 127kg to 78kg 馃挭 (at Arusha, Tanzania) https://www.instagram.com/p/Buq9CM-nmnK/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=co1zduznm72h
0 notes
Tumblr media
@weightlosschallenge.tz https://www.instagram.com/p/BotCjseH4Ov/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=76056v4xzbpw
0 notes