Tumgik
saratanitz · 3 years
Text
Tumblr media
Tunakukaribisha katika kliniki yetu ya Uchunguzi wa Saratani (Cancer Screening), inayopatikana Block A, chumba 110 kwa ajili ya uchunguzi wa awali (bure) wa Saratani ya Matiti. Kliniki hii huanza saa moja asubuhi kila siku ya kazi, ambapo elimu ya awali kuhusu saratani hutolewa na namna ambayo kila mtu anaweza kujichunguza mwenyewe (self breast examination). Jiwekee utaratibu wa kuhudhuria kliniki hii kila mwaka kwani uchunguzi wa mapema huokoa maisha.
#breastcancerawarenessmonth
#pinkoctober
#earlydetectionsaveslives
0 notes
saratanitz · 3 years
Text
Tumblr media Tumblr media
298 notes · View notes
saratanitz · 3 years
Text
Tumblr media
1 note · View note