Tumgik
#wakimbizi
magaratimes · 2 years
Text
#VOA. | Waomba hifadhi wahamishwa kwenye kambi Uholanzi
#VOA. | Waomba hifadhi wahamishwa kwenye kambi Uholanzi
Maafisa wamewahamisha mamia ya watu wanaotafuta hifadhi kutoka kwenye kambi ya muda nje ya kituo cha kupokea wahamiaji chenye msongamano kaskazini mashariki mwa Uholanzi. Hatua hiyo imekuja baada ya ripoti moja mbaya kutaja eneo ambalo takriban watu 700 walikuwa wakilala vibaya wiki hii na ni hatari ya kiafya. Timu ya Ukaguzi wa Huduma za Afya na Vijana ilisema baada ya kutembelea kambi hiyo ya…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
zephilinecom · 2 years
Text
NISAMEHE LATIFAH (18)
Jina: NISAMEHE LATIFAH Mwandishi: Nyemo Chilongani SEHEMU YA KUMI NA NANE ILIPOISHIA... Huko, Latifa alijikuta akibubujikwa na machozi, hakuamini kama kulikuwa na watu waliokuwa wakipitia mateso makubwa kama alivyokuwa watu hao. Wengi walikuwa wagonjwa,
Jina: NISAMEHE LATIFAHMwandishi: Nyemo Chilongani SEHEMU YA KUMI NA NANEILIPOISHIA… Huko, Latifa alijikuta akibubujikwa na machozi, hakuamini kama kulikuwa na watu waliokuwa wakipitia mateso makubwa kama alivyokuwa watu hao. Wengi walikuwa wagonjwa, madaktari walikuwepo kwa ajili ya kuwahudumia lakini kutokana na idadi ya wakimbizi kuwa wengi, hata wale madaktari walionekana kuwa…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
serengeti-dc · 2 years
Photo
Tumblr media
MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA SIKU YA MASHUJAA TANZANIA Kila ifikiapo Julai 25 ya kila Mwaka,Tanzania huadhimisha siku ya kuwakumbuka Mashujaa waliopoteza Maisha yao wakiutetea,Kuupigania na Kulinda  Uhuru wa Tanzania. Siku hii pia huambatana na Shughuli mbalimbali ikiwemo dua na sala maalumu za kuwaombea Mashujaa waliopoteza maisha  na  kuiombea Amani ya Nchi kutoka kwa Viongozi wa Dini. Mashujaa hao walipambana kwa Hali na mali kwa ajili ya kuitetea Nchi ya Tanzania wakiwa katika Maeneo Mbalimbali.Walijizatiti na kujitoa  kwa uzalendo mkubwa kwa kuweka rehani Maisha yao kwa ajili ya Tanzania.Uongozi na menejimenti ya Wilaya ya Serengeti tunaungana na Watanzania wote kuwakumbuka na kuwaombea kheri kutokana na kujali na kudumisha Misingi ya Amani. Misingi mizuri na imara iliyojengwa wasisi wa Taifa letu baba wa Taifa  ,Hayati Mwl.Julius Kambarage Nyerere Na Sheikh Abeid Amani Karume,imesababisha Wananchi wa Tanzania kwa muda mrefu kuishi kwa Amani na Utulivu,huku wakifanya mambo yao kwa uhuru bila kuingiliwa na mtu yeyote wa Ndani au Nje.Amani iliyojengwa na  imepelekea wageni,wakimbizi na watalii kuifanya Tanzania kuwa kivutio na kimbilio. Tuendelee kuienzi na kuilinda Amani ya Nch yetu.Wapo wanaosema Kuwa Amani ni sawa na Yai mkononi,ukilivunja hautaweza kulinganisha kamwe;wengine wanasema kuwa Amani  haina bei na ikipotea haina soko la kununu.Tuitunze Amani yetu. Wilaya ya Serengeti itaadhimisha siku hii kwa  kufanya maonyesho ya utalii kwenye viwanja vya Right to Play Mugumu. (at Right To Play) https://www.instagram.com/p/CgaNdh9NIFV/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
uviraonline · 6 years
Text
Kamanyola-RDC: Les réfugiés burundais de la secte d'Euzebiya quittent la RDC pour le Rwanda
Plus de 2.500 burundais de la secte Ezebie vivant dans le camp de transit de Kamanyola, en territoire de WALUNGU, province du Sud-Kivu à l’ est de la RD Congo, se sont réfugiés au RWANDA. Leur chargé de communication Dionise Nyandwi nous a laissé entendre qu’ils quittent Kamanyola “pour raisons de sécurité”. En effet, après avoir rejeté catégoriquement à cause de leur foi, toute idée…
View On WordPress
0 notes
esirelhalili · 3 years
Photo
Tumblr media
Shabiki pekee wa Newcastle Tanzania ni President Kikwete toka enzi za Kevin Keegan na Alan Sheerah . Hakuna shabiki mwingine hapa bongo labda Zanzibar uko . Ila utashangaa misimu miwili ijayo humu wakimbizi kutoka Arsenal, Man U, Chelsea nao watahamia Newcastle watasema ni Newcastle lialia #GLOBAL_SPORTS_TANZANIA #GLOBAL_NEWS_TANZANIA #GLOBAL_SOCCER_TANZANIA (at Dar es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CU5kvQDAnet/?utm_medium=tumblr
0 notes
tanzaniampyanews · 3 years
Photo
Tumblr media
Kenya kufunga kambi mbili za wakimbizi ifikapo Juni 2022 Kenya jana Alhamis ilitangaza uamuzi wake wa kuzifunga moja kwa moja kambi mbili za wakimbizi hadi kufikia Juni 30, 2022. Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta alikuwa na mazungumzo na Kamishna Mkuu wa masuala ya Wakimbizi wa Umoja wa Mataifa Filipo Grandi huko mjini Nairobi ili kujadili masuala yanayohusu kambi hizo pamoja na wanaotafuta hifadhi katika kanda hiyo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Wizara ya usalama wa ndani na uratibu ya Kenya, timu ya pamoja inayojumuisha maafisa kutoka serikalini na Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) itaundwa ili kukamilisha na kutekeleza mwongozo juu ya hatua zinazofuata kwenye usimamizi wa kibinadamu wa wakimbizi katika kambi za Kakuma na Dadaab. Kwa sasa kuna wakimbizi 433,765 wanaoishi katika kambi hizo mbili. https://www.instagram.com/p/COSANcjL0jv/?igshid=1ozw1nnu7wvvy
0 notes
sfaburundi · 3 years
Text
Tumblr media
#VOA. | Kanisa Kenya lainasihi serikali kutofunga kambi za wakimbizi https://sw.magaratimes.com/2021/04/12/voa-kanisa-kenya-lainasihi-serikali-kutofunga-kambi-za-wakimbizi/?utm_source=dlvr.it&utm_medium=tumblr
0 notes
fizimedia · 4 years
Photo
Tumblr media
NYARUGUSU CAMP -Tanzania: MAANDAMANO KUANDALIWA KESHO IJUMAMOSI FEBRUARY 15 KAMBINI NYARUGUSU KULIKONI? NYARUGUSU CAMP MAANDAMANO KUANDALIWA KESHO IJUMAMOSI FEBRUARY 15 KAMBINI NYARUGUSU KULIKONI? Wasiwasi yatanda kambini nyarugusu baada ya mabango yalio someka mwishoni mwa week ilio pita ikionesha wazi masikitiko ya wakimbizi na kuomba wazi wakimbizi wote kujitokeza mabarabarani kuandamana kutokana na tiba mbaya kambini hapo.
0 notes
Serikali ya Ethiopia imetangaza kuwakamata watu 62 ambao walihusika katika kuchochea mapigano ya kikabila hivi karibuni nchini humo. ...
0 notes
magaratimes · 2 years
Text
#ParsToday. | Mzozo wapelekea watu milioni moja kukimbia makazi yao Cabo Delgado Msumbiji
#ParsToday. | Mzozo wapelekea watu milioni moja kukimbia makazi yao Cabo Delgado Msumbiji
Wiki hii wakazi wa Jimbo la Cabo Delgado lililoko kaskazini mwa Msumbiji wanatimiza miaka mitano tangu vurugu kuibuka katika eneo hilo na kusababisha zaidi ya watu milioni moja kuyakimbia makazi yao. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa  na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR huko Geneva Uswisi, wakazi wa jimbo hilo wameshuhudia madhila makubwa yakitendeka mbele ya macho yao…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
allyahmedy-blog · 6 years
Text
Wahamiaji haramu wabuni njia mpya kuingia barani Ulaya
Wahamiaji haramu wabuni njia mpya kuingia barani Ulaya
Tumblr media
Wahamiaji haramu wagundua njia mpya ya kuingia katika mataifa ya Ulaya Magharibi kwa kupitia nchini Bosnia Herzegovina.
Hapo awali  wahamiaji walikuwa wakipitia nchini Ugiriki, Makedonia, Serbia, Hungary au Kroasia kuingia katika mataifa ya Ulaya Magharibi.
Njia hiyo ambayo ilikuwa ikitumiwa na wakimbizi ilifungwa Machi mwaka 2016.
Kwa sasa wahamiaji haramu na wakimbizi wanajaribu kutumia Kroasia…
View On WordPress
0 notes
kujengaupya · 4 years
Text
Tumblr media
Rebekah Lawson
Rebekah Lawson ni mtu anaye karamu za pekee niliofahamiana na wakati nilipoishi nje ya mji wa Atlanta, jimbo la Georgia, nchi ya USA. Ninafurahia usawasawa wa urafiki wake na ushirikiano wake japo kuwa ubali na mawasiliano ya mara kwa mara. Yeye kuna thamani. Tafadhli uchukue muda kufahamiana naye kwa kusoma maneno yake chini.
Wewe ni Nani? Habari ya msingi ungependa kushirikisha.
Hello, jina langu ni Rebekah. Mimi ni mfuwasi wa Yesu, mwanafunzi, mwalimu, binti, na dada. Katika miaka miwili zilizopita Mungu amebadilisha mwelekeo ya maisha yangu. Mpito ulimaanisha kwamba nijipumzishe kufuata wazo langu la "huduma" na "misheni" na kurudi shuleni ili kuwa mtaalam wa kuongea (speech thearapist). Kupitia badiliko haya Mungu ananifundisha vitu vipya kuhusu utambulisho (identity) wangu, majukumu yangu kanisani, namna kupenda wajirani wangu, na namna kumsikiliza na kumtegemea Yeye katika utaratibu wangu upya.
Tafadhali tuambie kitu cha pekee kuhusu wewe.
Nina upendo kwa wakimbizi, pamoja na nia kwa kuwa daraja kwa mapengo ya mawasiliano, na kuwasaidia watu kufikia rasilimali za jamii, pamoja na kuwasaidia watu kujifunza kustawi kati ya idadi hiyo. Napenda kujifunza pia. Iwapo mada ninayopenda ni lugha za kigeni, mapishi tamu ya GF, shughuli ya ubongo inayohusiana na maendeleo na shughuli ya lugha, maombi na kuabudu, utamaduni, elimu, na kilimo ya bustani.
Yesu ni nani maishani mwako?
Yesu amekuwepo katika maisha yangu tangu nilikuwa msichana mdogo. Yeye ni Rafiki yangu, Mwokozi wangu, Mfano wangu, na Faraja yangu. Yeye amekuwa mwaminifu kwa kuwa karibu nami katika maisha yangu yote, na amekuwa na mwema ya kutosha kunisaihihisha nikipokosea, na kutia moyo wangu kufanya sahihi.
Usipokuwepo ofisini, ungependa kufanya nini?
Nisipofanya kazi ya shule au kazi nyngenie, napenda kusoma, kuwa na marafiki, kulima bustani, kuandika mawazo na moyo wangu, kuwepo nje juani, kula chakula kizuri, na.... kutazama TV.
Maisha yako unakuwaje kwa sasa? Unapanga au unatumaini nini kwa wewe binfasi, familia, kazi, n.k...?
Msimu huu ya kwenda shuleni kuna changamoto. Ni wakati tajiri ya kujifunza, lakini pia inahijatika muda na nguvu wa akili. Ninajifunza kwamba siwezi kuifanya bila msaada wa Mungu, na ninajifunza namna za kujiunganisha kwa kusudi naye Mungu pamoja na mahusiano nyingenie katika biashara yote. Tumaini yangu ni kukamilisha degree yangu na kuanza kazi ya mtaalum ya kuongea (speech thearapist) kusaidia watu kuwasiliana.
Nini ungemshauri mtu anayekuja nchi yako (yoyote ambao ni kwako) kwa mara ya kwanza?
Utambue kwamba Mungu yuko nawe katika mpito yako, na ana kusudi kwa wewe ukipopata uzoefu katika mabadiliko haya. Ana mipango kwa wewe. Una utambulisho katika Yeye. Jitahidi kujirekebisha kulingana na mabadiliko unayaona (Kiingereza, utamaduni, kazi, watu wa jamii, kujifunza, miadi...). Ujue kwamba utamaduni wako na uzoefu wako wa maisha kuna thamani. Ujue kwamba Mungu ni uleule katika nchi yako ya nyumbani na katika United States, lakini angeweza kuamua kufanya kazi katika maisha yako kwa namna upya kwa sababu uko mahali mapya.
Je, wewe ni mwenye ubunifu?? Kama ndio, kwa namna gani?
Napenda kuwa na ubunifu katika matumizi wa maneno. Napenda kuandika au kichora vitu ambavyo ninajifunza au ninapitia ili kuvielewa zaidi. Napenda kuwa na ubunifu katika kutoa zawadi.
Chochote ungependa kuongeza, kwa mada yoyote?
Kwa kujibu maswali haya kwa kweli nilikuwa na fursa njema kukagua nini Mungu anafanya maishani mwangu na kutafakari. Ningehimiza wengenie kutafakari maswali haya pamoja na kuwaza nini Mungu anafanya na namna alivyotubuni.
Asante Rebekah, tunaishukuru sana. Hakika umetuheshimu na umetubariki kwa kutushirikisha matunda yako ya tafakari zako. Mungu anendelee kutia nguvu yako katika masomo na kuwezesha kuangaza utukufu wake kupitia kazi zako zote.
0 notes
matokeochanya · 4 years
Text
WAZIRI SIMBACHAWENE AKUTANA NA MWAKILISHI MKUU WA UNHCR NCHINI
Mwakilishi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR)nchini, Antonio Canhandula akizungumza masuala mbalimbali yanayohusu wakimbizi na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), wakati mwakilishi huyo alivyofika ofisini kwa waziri, jijini Dodoma. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akimsindikiza Mwakilishi Mkuu wa Shirika la Umoja wa…
View On WordPress
0 notes
jamiiyatanzania · 4 years
Text
Hali tete inchini Uganda
Habari za UN
Hali ni tete kwa ufadhili wa wakimbizi Uganda-UNHCR
IRIN/Samuel OkirorWakimbizi wakiwa katika kituo cha afya kilichoko katika kambi yao ya Nakivale nchini Uganda 20Disemba 2019Wahamiaji na Wakimbizi
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limeonya kwamba ufadhili kwa ajili ya msaada kwa wakimbizi nchini Uganda ni mdogo sana.
Uganda inahifadhi jumla ya…
View On WordPress
0 notes
mazallaposts · 6 years
Photo
Tumblr media
Ajali ya Basi la Lugano mlima K9 Ngara,Kagera,Yaua Wakimbizi Watano. https://ift.tt/2pSeNj5
0 notes
mchakatoblog · 6 years
Photo
Tumblr media
Wakimbizi wamiminika Burundi kutoka Kongo kutokana na mapigano kuwa makali Mikoa ya Burundi inayo pakana na eneo la Fizi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo inaenedelea kuwapokea wakimbizi wanao yatoroka mapambano kati ya majeshi ya serikali na wapiganaji wa Mai Mai.
0 notes