Tumgik
#mstari
swahilibible · 3 months
Photo
Tumblr media
Soma Biblia: beblia.com 🙏
Sema Amina kama unakubali
Matendo ya Mitume 14:19-20
beblia.com
2 notes · View notes
jamesmurualiterary · 2 years
Text
Mstari Wa Nne tribute show for Grandmaster Masese in Nairobi.
Mstari Wa Nne tribute show for Grandmaster Masese in Nairobi.
As details emerge on the death of Kenyan poet and musician Grandmaster Masese, the Mstari Wa Nne collective is hosting a tribute show in his honour at the Kenya National Library, Nairobi on June 10, 2022. Grandmaster Masese, real name Dennis Dancan Mosiere, came to prominence when a new poetry scene emerged in Nairobi in the mid-2000s. Masese kept at his poetry and his obokano, the lyre from the…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
the-writing-avocado · 2 years
Text
Dates
Eight months in a year
New months (provisional, google translating words into Swahili as a base):
mwenge usiku wa giza maisha kifo eneo wakati mstari tatizo
8x37=296 -> up to 305 for annoyance
so 37-40 days in a moth
T'was religious communities jobs to decide religious celebrations, etc. when they moved over to Mistynn
Do the humans know why the moths changed? No, but a lot of information got lost in the transition due to unaccountable accidents (The Old War, the words are words from the lost language)
Five days in a week. Everything works on a two week cycle traditionally
Days typically work three days work two days rest
Normally in format Rest, Work, Work, Work, Rest
Monday, Tuesday, Wednesday, Thursday, Friday
Did Magicians have formal names for days of the week? No.
1 note · View note
Note
Sure. Like I shared Mstari. - 📸
*chuckles* you’re so cute, you know that?
0 notes
joackcompany · 1 year
Text
TUNAUZA KIFAA CHA KUPIMA MIMBA NG'OMBE WE ARE SELLING COW PREGNANCY TEST KIT
Bei ni: 15,000Tsh
Call/Text/WhatsApp: 0714 63 63 75
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet
Muda wetu wa kazi | Asubuhi 7:00am - Usiku 11:00pm
Ofisi zetu zipo Tegeta-Wazohill, DSM na Bagamoyo
COW PREGNANCY TEST KIT ni kifaa maalumu kinachotumika kupima mimba kwa NG'OMBE kwa kutumia mkojo, yaani unatumia mkojo kungundua kama mimba imeshika au la.
Hiki kifaa kinauwezo wa kugundua mimba yenye umri mdogo ndani ya wiki, hii ni tofuti na vipimo vingine ambavyo vinahiji mimba iwe na umri mkubwa.
Ni muhimu sana kupima mimba wanyama ili tuweze kutambua taarifa mbalimbali mfano, atazaa lini, lakini zaidi inatusaidia kumpa mnyama mahitaji muhumu kulingana na hali yake.
JINSI YA KUTUMIA
1. Andaa mkojo kidogo wa NG'OMBE
2. Weka matone 3-4 ya mokojo kwenye kipimo
3. Subiri kwa dakika 10, ukiona mistari myekundu 2 ujue mimba ipo ukiona mmoja ujue hamna na kama hamna mstari ujue kipimo ni kibovu
Endelea kufatilia page yetu ya @joackcompany ili upate elimu juu ya ufugaji bora wenye tija.
Wateja wa mikoani na nje ya Tanzania, hizi bidhaa tunawatumia.
LENGO LETU NI KUBADILISHA MAISHA YA MKULIMA KUPITIA UFUGAJI NA KILIMO NA INAWEZEKANA.
#dairycow #ngombe #kipimamimbachangombe #maziwa #kifaachakupimiamimba #kifaachakupimiamimbangombe #ngombewamaziwa #cowpreganttest #cowpreganttestkit #ngombewakisasa #kipimamimbakwangombe #cowpregnancytestkit #kipimamimba #lisheyangombe #tunauzangombe #cowpregnanttester #kifaachakupimamimba #kifaachakupimamimbangombe
Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #mifugotz #mifugo #kilimo #daressalaam #morogoro #kilimoufugaji #mwanza #daktariwamifugo #dodoma #tanzania #tanzania
JOACK Company LTD | DSM & Bagamoyo
Tumblr media
0 notes
umbas-blog · 1 year
Text
*Je, Mkristo anaweza kucheza michezo? Biblia inasema nini kuhusu afya?*
Kama ilivyo kwa mambo mengi maishani, kuna viwango vya kupita kiasi linapokuja suala la mazoezi. Watu wengine hujitolea kabisa kwa kiroho, kwa gharama ya mwili wao. Wengine wanathamini sana miili yao na hali yao njema hivi kwamba wanapuuza ukuaji wao wa kiroho na ukomavu. Mitazamo hii miwili si ya kibiblia wala haina uwiano. 1Timotheo 4:8 inatuambia, “Kwa maana mazoezi ya mwili yafaa kidogo, na utauwa wafaa kwa kila jambo, maana unayo ahadi ya uzima wa sasa, na ule ujao. Kumbuka kwamba mstari huu haukatai manufaa ya mchezo, bali unarejesha mpangilio sahihi wa kipaumbele kwa kutanguliza utauwa.
Mtume Paulo pia anatumia michezo ili kufafanua kweli ya kiroho katika 1 Wakorintho 9:24-27 . Anafananisha maisha ya Kikristo na shindano la mbio tunalokimbia ili “kushinda tuzo”: taji la milele, lisiloweza kuharibika. Katika 2 Timotheo 2:5, Paulo anasema: “Mwanariadha havizwi taji ikiwa hajashindana kwa sheria. Pia anatumia mlinganisho wa riadha katika 2 Timotheo 4:7 : “Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimemaliza, imani nimeilinda. Ingawa vifungu hivi vya Biblia havizungumzii moja kwa moja mazoezi ya kimwili, uhakika wa kwamba Paulo anatumia istilahi ya riadha kutufundisha kweli za kiroho unaonyesha kwamba ana maoni yanayofaa kuhusu michezo, na hata mashindano. Sisi sote ni viumbe vya kimwili na vya kiroho. Ikiwa, kwa mtazamo wa kibiblia, kipengele cha kiroho cha nafsi yetu ni muhimu zaidi, hatupaswi kupuuza afya yetu ya kimwili.
Kwa hiyo ni wazi kwamba hakuna kitu kinachosimama katika njia ya Wakristo kucheza michezo. Kwa kweli, Biblia inasema wazi kwamba tunapaswa kutunza miili yetu (1 Wakorintho 6:19-20), lakini pia inatuonya dhidi ya ubatili (1 Samweli 16:7, Mithali 31:30, 1 Petro 3:3-4). Lengo letu katika kucheza michezo halipaswi kuwa kukuza miili yetu ili wengine watutambue na kutuvutia, bali kuboresha utimamu wetu wa kimwili ili tuweze kutumia nguvu nyingi zaidi kufikia malengo ya kiroho.
*_"Mchungaji Umba wa Bondo Kazadi"_*
0 notes
mrherojoseph-blog · 1 year
Photo
Tumblr media
Prophet Mutula🎇 Niko mstari wa mbele kuhakikisha unafunguliwa. maroho yanayotesa 🌻ndoa yako 🌻Kazi yako 🌻Afya yako 🌻Nyota yako na maisha yako... 👉Hayo maroho yanakuachilia na unapokea muujiza wa kilicho chako by fire in Jesus name. Type "NIWACHILIWE LEO IN JESUS NAME" na kwa Imani Mungu Atakutetea. Prophet Dr Mutula 📞☎️🌻0720508509 #powers_of_a_prophetic_word https://www.instagram.com/p/CnWi976rxWT/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
swahili-bible · 1 year
Text
3. KUKOSA UTIIFU KATIBU BUSTANI YA EDENI
“Bwana Mungu akapanda bustani upande wa mashariki wa Edeni”
Shabaha
Ni kuonyesha nini kilitokea baada ya Adamu na Hawa kutomtii Mungu.
Muhtasari
Mungu alikuwa ametayarisha bustani nzuri kwa ajili ya kuishi mwanaume na mwanamke ili waishi ndani yake. Iliitwa busani ya Edeni. Likiwa na maana ya “furahia”. Ilikuwa na miti mingi ya kupendeza kwa kuiangalia na pia mizuri kwa chakula. Mto ukiimwagilia bustani na Adamu aliilima na kuitunza wala hapakuwa na magugu au miiba ya kuiharibu ardhi. Adamu na Hawa waliweza kufurahia vitu vyema ambavyo muumba mwenye upendo aliwapatia. Mungu aliamua kupima upendo wao kwake Mwanzo 2:15-17;3
MTI WA KUJUA MEMA NA MABAYA MWANZO 2:15-17
Katikati ya bustani ya Edeni Mungu alikuwa amepanda aina mbili za miti maalum “mti wa uzima” na “mti wa kujua mema na mabaya” Adamu na Hawa waliruhusiwa kula matunda ya miti mingine yote isipokuwa matunda ya mti huu wa pili. Mungu alisema, “Walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakapo kula matunda ya mti huo utakufa hakika. Walikuwa hawaruhusiwi hata kuugusa” (3:3)
Amri hii hakika ilikuwa rahisi ambayo Mungu aliwaonya kwamba ikiwa hawataizingatia watakufa hakika. Kutokutii sheria ya Mungu ni dhambi na “mshahara wa dhambi ni mauti” (Warumi 6:23)
KUTOKUWA WATIIFU KATIKA EDENI MWANZO 3:1-6
Kwa muda mambo yaliendelea kuwa mazuri, lakini katika bustani hii ya Edeni kulikuwa na mnyama mwelevu aliyeitwa “nyoka” ambaye Mungu alimpa nguvu za kusema Mwanzo 3:15 hueleza jinsi nyoka aivyomwambia uongo na mwanamke alimwamini nyoka badala ya kumwamini Mungu. Nyoka kama walivyo wanyama wengine hakuwa na ufahamu wa kupambanua mazuri na mabaya kwani Mungu hakumpa akili kama alivyompa mwanadamu hata hivyo aliweza kusikia maagizo ya Mungu kwa Adamu na Hawa, lakini akidhani kwamba ikiwa watakula matunda ya mti wa kujua mema na mabaya, bila shaka wangekuwa na ufahamu kama malaika. Hivyo alimwambia Hawa kuwa hakika “hamtakufa”.
Mara baada ya mawazo haya kumwingia Hawa akilini alianza kuushangaa mti ule. Aligundua kuwa ulikuwa ni “mti mzuri kwa chakula” na “unatamanika kwa maarifa”; na kadri alivyoyangalia matunda yake ndivyo alivyozidi kutamani mti ule. Na kuwa ungemwezesha kuwa mwerevu kama malaika, kama nyoka alivyokuwa amemshauri……. ghafla, Hawa alinyoosha mkono wake na kuchuma tunda na kula. Hatimaye alimpatia Adamu “ambaye pia alikula”.
Hawa alidanganywa na nyoka na hakutii amri ya Mungu. Adamu alitenda dhambi kwa kuchagua kumpendeza mkewe kuliko kumpendeza Mungu.
DHAMBI HULETA AIBU NA WOGA MWANZO 3:7-13
Mara baada ya Adamu na Eva kula tunda walijitambua kuwa wametenda dhambi. Ghafla walijukuta wanaona aibu na kuogopa. Kwa hiyo walishona majani ya mtini kuwa nguo za kujifunika. Walijificha katika bustani wakijua kuwa Mungu angekasirika. Na hivi ndivyo hutokea kwetu pia mara tutendapo dhambi. Mara tu tunapogundua kwamba tumekosea njia ya Mungu tunaona aibu na kujiona kuwa tu wenye hatia kwa Mungu.Wakati Mungu alipomwita Adamu, mkosaji Adamu alimlaumu Hawa na Hawa alipulizwa na Mungu naye alimlaumu nyoka. Lakini walikuwa wao wenyewe ndiyo waloijua sheria ya Mungu na ni wao walikuwa hawakuitii.
ADHABU YA MUNGU MWANZO 3:14 – 20
Kwa Nyoka: Kwa kuwa nyoka alisema uongo na kumdanganya Hawa, Mungu alimlaani. Atakwenda kwa tumbo na kula mavumbi katika siku zote za maisha yake.
Kwa Adamu: Mungu alimwambia Adamu kwamba badala ya kuishi katika bustani nzuri ambamo kila kitu kilikuwepo kwa kusudi la Mungu, watafukuzwa katika bustani hiyo. Tangu wakati huo na kuendelea ikamlazimu kufanya kazi kuwa ngumu ili kumwezesha kupata chakula chake na Hawa. Nchi sasa itaotesha miiba na magugu na kuifanya kazi kuwa ngumu zaidi. Mwishowe Adamu atafariki na kurudi tena katika mavumbi ya ardhi ambayo katika hayo aliumbwa kwa maana Mungu alisema, “kwa maana u mavumbi wewe, nawe mavumbini utarudi” (mstari 19). Mtu kwa hiyo akawa kiumbe cha kufa kwa sababu ya dhambi kwa maana “mshahara wa dhambi ni mauti” (Warumi 6:23) kwa kuwa sisi sote tunatokana na ukoo wa Adamu tunashiriki pia katika namna moja ya asili na hivyo tunakufa.
Kwa Hawa: Hawa aliambiwa atakuwa na uchungu mno na kutawaliwa ma mmewe.
MUNGU ANAWAPATIA MAVAZI:14-20
Adamu na Hawa walikuwa wamejifunika majani ya mtini kujaribu kuficha aibu yao, lakini jambo hili halikukubaliwa na Mungu. Badala yake aliwapatia wote vazi lililotengenezwa kwa ngozi ya mnyama. Mungu alikuwa na sababu nzuri sana kwa ajili ya hili maana ilimfundisha Adamu na Hawa kuhusu dhambi. Kwa kuwapatia ngozi ni sharti kuwa mnyama lazima achinjwe na damu yake kumwagika. Yote haya yanatuelekeza mbele kwenye kifo chake Bwana Yesu Kristo ambaye kwa ajili ya kifo chake yetu Mungu alitutengenezea njia yetu ili dhambi zetu ziweze kufutwa au kusamehewa. Wakati mtu anapobatizawa, Biblia inasema kuwa mtu huyu anakuwa “amemvaa Kristo” (Wagalatia 3:27), kama vile Adamu alipojifunika vazi alilopewa na Mungu.
KUFUKUZWA KUTOKA KATIKA BUSTANI: MWANZO 3.22-24
Baada ya Mungu kuwaambia Adamu na Hawa kuhusu adhabu watakayopata kutokana na dhambi yao, Aliwafukuza kutoka katika bustani ya Edeni. “Ili wasije wakala matunda ya mti wa uzima ambapo wataishi milele”, kwa hiyo Mungu aliwafukuza kutoka katika bustani na akawaweka makerubi upande wa mashariki ya Bustani wakiwa na upanga wa moto uliogeuka huku na huko kulinda njia ya uzima (mistari 22-24).
FUNDISHO KWETU
Nirahisi sana kujaribiwa kutenda mabaya. Kosa la kwanza la Hawa lilikuwa kusikiliza maneno ya nyoka. Ikiwa tunasikiliza ushauri wa wale wasioipeda Kweli,na sisi pia tutamkosea Mungu. Njia pekee ya kuhakikisha kuwa tunamtii Mungu ni kuyaweka maneno yake akili mwetu “moyoni mwangu nimeliweka neno lako nisije nikakutenda dhambi” (Zaburi 119:11).
Dhambi ililetwa duniani kutokana na kosa la mtu mmoja kukosa utii, na kwa kuwa sisi ni watoto wa Adamu, ni lazima na sisi tufe pia. Lakini Mungu hataki watu wote wafe milele, kwa huruma yake, Aliiweka njia ya kusamehewa dhambi zetu kupitia ubatizo katika Bwana Yesu Kristo.
Jifunze kupenda sheria za Mungu na kuziweka ndani ya moyo wako, ili uweze kukua hadi kubatizwa hatimaye kupata karama ya Mungu ya uzima wa milele (Warumi 6:23).
MAELEZO YA ZIADA
Katika Mwanzo 3:15 Mungu anasema juu ya uadui, ambo daima utakuwepo kati ya uzao wa nyoka na uzao wa Mwanamke. Uzao wa nyoka ni wale wote ambo hawajui njia za Mungu na hawapendi Kweli. Uzao wa mwanamke ni wale wote wanaosema Kweli (kama Hawa alivyofanya kwanza. Mwanzo 3:2-3).
Kuna mmoja tu ambaye ametii kwa ukamilifu kwa kuitii Kweli; naye huyo ni Bwana Yesu Kristo. Tunaambiwa kwamba uzao wa nyoka “utamponda kisigino” (Mwanzo 3.15). Hili lilitimiaa wakati maadui wa Kweli (wayahudi waovu na Warumi) walipomwua msalabani. Kwa ajili ya utiifu wake mkamilifu kwa Mungu hakubaki kaburini, lakini Mungu alimfufua baada ya siku tatu.
“Mashambulizi ya” nyoka kwa Yesu yalikuwa ni “majeraha” aliyopata ambayo yalipona. Hata hivyo “Uzao wa mwanamke” hata hivyo “ungeponda kichwa” cha uzao wa nyoka (Mwa 3:15). Haya yangekuwa mashambulizi ya kifo kwa sababu Bwana Yesu Kristo alifufuka kutoka kaburini ili asife tena, dhambi na kifo vimepoteza nguvu. Ameviharibu na kufungua njia ya uzima wa milele kwa wale wote wanoipenda Kweli na kuweka tumaini katika yeye.
MASWALI
Majibu Mafupi
Ni amri ipi moja ambayo Mungu aliwapa Adamu na Hawa?
Ni nani alimsahwishi Hawa kuvunja amri hii?
Dhambi ni nini?
Mungu alisema jambo gani lingetokea ikiwa Adamu na Hawa watatenda dhambi?
Ni jambo gani linalowatokea watu wote kwa sababu ya dhambi ya Adamu na Eva?
Ni aina gani ya vazi ambalo Mungu aliwapatia Adamu na Eva?
Mungu alifanya nini baada ya Adamu na Hawa kutenda dhambi?
Majibu ya Kina.
1. Ni kwa jinsi gani Adamu na Eva hawakuitii amri ya Mungu katika bustani ya Edeni?
2. Ni kwa jinsi Mungu alivyowaadhibu Adamu na Eva Kutokana na kosa lao?
3. (a) Ni vazi gani kwa ajili ya dhambi ambalo Mungu aliwapatia Adamu na Eva?
(b) Je, tendo hili linamwonyesha nani?
Majibu ya Ziada
4. Eleza nini kilitokea baada ya Adamu na Hawa kula tunda la mti?
5. “Mshahara wa dhambi ni mauti,bali karama ya Mungu ni uzima wa milele”. Hii ina maana gani?
6. Eleza maana ya yafuatayo:
(a) Uzao wa nyoka
(b) Uzao wa mwanamke
(c) Huo utaponda kisigino chake; na
(d) wewe utakiponda kichwa chake
0 notes
serengeti-dc · 1 year
Photo
Tumblr media
RAIS SAMIA ATOA ZAWADI  ZA KRISMASI KWA WATOTO WA HOPE FOR GIRLS AND WOMEN WILAYANI SERENGETI   Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania  Dkt.Samia Suluhu Hassani ametoa zawadi za chakula kwa ajili ya sikukuu  ya Krismasi kwa Shirika la Hope for girls and women in Tanzania  lilipo wilayani Serengeti Mkoa wa Mara,likiwa ni Miongoni mwa shirika   yanayopambana dhidi ya vitendo vya  Ukatili na unyanyasi wa Kijinsia.  Akikabidhi  Zawadi hizo kwa niaba ya  Mkuu wa Mkoa wa Mara Meja Jenerali Suleimani Mzee, Mkuu wa wilaya ya Serengeti Dkt.Vincent Mashinji amemshukuru Rais Samia  kwa kutoa zawadi hizo za chakula  katika wilaya ya Serengeti  katika  kituo cha hope. Dkt.Mashinji amekipongeza kituo hicho  salama kwa juhudi kubwa ya kuwalea watoto waliokimbia vitendo vya ukeketaji  na ukatili wa kinjisia ,amewataka viongozi wa kisiasa kuwa mstari wa mbele kukemea vitendo hivyo . Aidha,Kaimu Katibu Tawala wa wilaya ya Serengeti Ndg.Gasper  Irigo ameungana na viongozi wengine Kumshukuru  Rais samia na kuahidi kushirikiana kwa ukaribu na vituo vyote vinavyolelea watoto yatima,wenye mazingira magumu na waliokimbia vitendo vya ukatili  na unyanyasi. Nae, Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Serengeti ameitaka jamii kwatunza  watoto  ili waweze kutimiza ndoto zao na  kuiomba serikali kuzidi kupambana  na wote wanaofanya vitendo vya kikatili na vya unyanyasi wa kijinsia hatua kali ziendelee kuchukuliwa dhidi yao. Kwa upande wa Mkurugenzi wa kituo hicho Rhobi Samweli amemshukuru  Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania  Dkt.Samia Suluhu Hassani kwa zawadi kubwa ya chakula kwa ajili ya watoto wa kituo hicho wapatao 90 waliokimbia  na kukutwa na matukio mbalimbali yakiwemo ukeketaji,vipigo,ndoa za utotoni,ubakaji na manyayaso na ameiomba serikali kuzidi kuwashika Mkono na kutunga sharia kali za kumlinda mtoto wa kike.   Huu ni Muendeleo wa Rais samia kuwagusa watoto wote  nchini Tanzania wenye mahitaji ya chakula katika kusherehekea Sikukuu ya Krismasi inayoadhimishwa tarehe 25 disemba  2022 duniani  kote.  @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano   https://www.instagram.com/p/CmmNSkoNiJg/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
zephilinecom · 2 years
Text
SITOISAHAU FACEBOOK (24)
Jina: SITOISAHAU FACEBOOK Mwandishi: Emmy John Pearson SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE
Jina: SITOISAHAU FACEBOOKMwandishi: Emmy John Pearson SEHEMU YA ISHIRINI NA NNEILIPOISHIA… Na yeye alikuwa amepanga mstari. Akaanza kupita na kufanya kile anachokijua mwenyewe. Alimfikia John, na yeye akamuona akamshika mkono. Ina maana John anaonekana? Nilijiuliza.Nikiwa katika hali ya mashaka ya kila kinachoendelea. KAMA UNASOMA SIMULIZI HII NJE YA APPLICATION YA CnZ Media BASI INSTALL ILI…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
swahilibible · 13 hours
Photo
Tumblr media
Soma Biblia: beblia.com 🙏
Sema Amina kama unakubali
1 Wathesalonike 2:3-4
beblia.com
0 notes
0714091786 · 2 years
Photo
Tumblr media
Mstali wa Mbele kuanzia kushoto ni Salmin Amour,Ali Mzee Ali,Hassan Nassoro Moyo,Edward Moringe Sokoine,Aboud Jumbe,Juias Kambarage Nyerere,Rashidi Mfaume Kawawa,Cleopa Msuya na Kingunge Ngombale Mwiru, Mstari wa Nyuma ni Abdalla Said Natepe,Salimu Ahamed Salimu,Getruda Mongera,Seif Sharif Hamad, Paul Sozigwa,Daudi Mwakawago,Moses Nnauye na Alfred Tandau..Wazee wetu hawa walilitumikia Taifa hili wakati huo likiwa Changa kabisa Comment LikePage Share #BABADUPDATES (at Tanganyika) https://www.instagram.com/p/Ch83JWnKwtm/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
deadassdiaspore · 2 years
Text
HAKUNA HARAKATI ZA UKOMBOZI WA KUONGEA. CREDIT NZURI TU, UMILIKI WA NYUMBA, NA USHIRIKIANO. JIMBO HILI LILILOSIWA NA JUU LA TAIFA LINABIDI KUSHIKA FIKRA ZA WATU ILI ZINAA DAIMA HUWA UPUUZI KATIKA MITAA YA DEEZ. IKIWA HUO NDIO UHALISIA WAKO KUTOKANA NA WEWE KUFANYA MAZOEZI YA WAJIBU WA KIFEDHA...HICHO NI KITU MOJA. KUSUKUMA AINA HII YA MAFANIKIO YA ABSOLUTIST INADHURU ZAIDI KULIKO WATU WANAYOJALI KUBURUDIKA.HIZI NI SIMULIZI ZA MAFANIKIO YA WAKATI MSTARI (REJEA kutoka BLACK QUANTUM FUTURISM: SPACE TIME COLLAPSE II) IKIWA HUO NDIO UZOEFU WANGU KWENYE SAYARI HII NENDA TU KICHWA NA KUNITOA NJE KOCHA WA MCHEZO. KANUSHO: KUTOMWEKA GAZA MTU YEYOTE AMBAYE ANAJITAHIDI DAIMA KWA MATOKEO YA KUTANGANYIKA AKILI NA UMASKINI WA KUTISHA MAISHA NA KUJITAFUTIA KUJIMARISHA. BORA MKAKATI IKIWA KABISA. USIFANYE KITAMBULISHO CHAKO NZIMA HICHO UTATUMIWA TU KUWA MTU WA KIPEKEE HATIMAYE UTAJALI AU LA. KUWA VIZURI DIASPORA
NENHUM MOVIMENTO DE LIBERTAÇÃO PARA FALAR. APENAS BOM CRÉDITO, CASA PRÓPRIA E CUMPLICIDADE. ESTE ESTADO NAÇÃO ILUSÓRIO TEM QUE ESTRANGULAR A IMAGINAÇÃO DAS PESSOAS TÃO APERTADA QUE É SEMPRE ABSURDO NAS RUAS DEEZ. SE ESSA É A SUA REALIDADE COMO RESULTADO DE VOCÊ PRATICAR A RESPONSABILIDADE FISCAL... ISSO É UMA COISA. IMPULSIONAR ESTA MARCA DE SUCESSO ABSOLUTISTA FAZ MUITO MAIS PREJUÍZO DO QUE AS PESSOAS PRECISAM DIVERTIR. ESTAS SÃO NARRATIVAS DE SUCESSO DE TEMPO LINEAR (REFERÊNCIA DE FUTURISMO QUANTUM NEGRO: COLAPSO DO TEMPO DO ESPAÇO II) SE ESTE É O ZENITE DA MINHA EXPERIÊNCIA NESTE PLANETA, APENAS VÁ EM CABEÇA E ME TIRE O TREINADOR DO JOGO. ISENÇÃO DE RESPONSABILIDADE: NÃO DESCULPEM NINGUÉM QUE ESTÁ PERPETUAMENTE LUTANDO COMO RESULTADO DE DESTRUIÇÃO DE MENTE E POBREZA AMEAÇADO A VIDA E QUE BUSCA MELHORAR A SI MESMO. NA MÁXIMA ESTRATÉGIA, SE FOR. NÃO DEIXE TODA A SUA IDENTIDADE FORA DESSA MERDA VOCÊ APENAS SERÁ USADO COMO UM TROPE EXCEPCIONALISTA EVENTUALMENTE, QUER OU NÃO. ESTEJA BEM DIÁSPORA
NO LIBERATION MOVEMENT TO SPEAK OF. JUST GOOD CREDIT, HOME OWNERSHIP, AND COMPLICITY.
THE ILLUSORY NATION STATE OF THE U.S. GOTTA STRANGLE HOLD ON PEOPLES' IMAGINATION SO TIGHT IT'S ALWAYS ABSURB IN DEEZ STREETS.
IF THAT'S YOUR REALITY AS A RESULT OF YOU PRACTICING FISCAL RESPONSIBILTY...THAT'S ONE THING. PUSHING THIS BRAND OF ABSOLUTIST BRAND OF SUCCESS DOES WAY MORE HARM THAN PEOPLE CARE TO ENTERTAIN.THESE ARE LINEAR TIME SUCCESS NARRATIVES (REFERENCE from BLACK QUANTUM FUTURISM: SPACE TIME COLLAPSE II)
IF THAT'S EVER THE ZENITH OF MY EXPERIENCE ON THIS PLANET JUST GO HEAD AND TAKE ME OUT THE GAME COACH.
DISCLAIMER: NOT GASLIGHTING ANYONE WHO IS PERPETUALLY STRUGGLING AS A RESULT OF MIND SHATTERING AND LIFE THREATENING POVERTY AND SEEKS TO BETTER THEMSELVES. AT BEST A STRATEGY IF AT ALL. DON'T MAKE YOUR WHOLE IDENTITY OUTTA THAT SHIT YOU'LL JUST BE USED AS AN EXCEPTIONALIST TROPE EVENTUALLY WHETHER YOU CARE TO OR NOT.
BE WELL DIASPORA
0 notes
jamesmurualiterary · 2 years
Text
Grandmaster Masese tribute event hosted in Nairobi.
Grandmaster Masese tribute event hosted in Nairobi.
An event in tribute to Kenyan poet and musician Grandmaster Masese, organized by the Mstari Wa Nne poetry collective, was hosted at the Kenya National Library, Nairobi on June 10, 2022. Grandmaster Masese, real name Dennis Dancan Mosiere, came to prominence when a new poetry scene emerged in Nairobi in the late-2000s to early 2010s. That scene had events galore at venues like Club Soundd (Kwani…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
joackcompany · 1 year
Text
FAHAMU KUHUSU KILIMO CHA KABICHI
USTAWISHAJI WA ZAO LA KABICHI
Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @joackbagamoyo @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic
Kabichi hulimwa katika mikoa ya:
1. Morogoro
2. Arusha
3. Tanga
4. Iringa
5. Kilimanjaro na
6. Mbeya
Zao la hili hupendelea hali ya ubaridi na udongo tifutifu, wenye rutuba nyingi, unaohifadhi unyevu kwa muda mrefu, usiotuamisha maji, usio na chumvichumvi nyingi ila kama udongo hauna rutuba ya kutosha ongeza mbolea ya samadi
au mbolea vunde.
Mbegu za kabichi huoteshwa kitaluni (tumia trei za kupanda na udongo maalumu/cocopeat) na baadaye huhamishiwa shambani.
Kiasi cha mbegu zinazohitajika ni gramu 1 kwenye eneo la mita 1 ya mraba hivyo hekta 1 huhitaji gramu 200 – 300g
Miche huwa tayari kupandikizwa shambani baada ya wiki 3 – 5 tangu kusia mbegu . Miche huwa na urefu wa sentimita 15 – 20.
Nafasi ya kupandikiza, hutegemea aina ya kabichi, zenye vichwa vikubwa (Drumhead) ni sentimita 60 kutoka mche hadi mche na sentimita 75 toka mstari hadi mstari. Zenye vichwa vidogo (Oxheart) ni sentimita 40 – 50 kutoka mche hadi mche na sentimita 60 toka mstari hadi mstari.
Kabichi hustawi vizuri zaidi iwapo kuna maji ya kutosha kwenye udongo. Mwagilia mara mbili au zaidi kwa wiki kutegemea hali ya hewa na aina ya udongo.
Kufahamu zaidi kuhusu kilimo, endelea kufatilia page zetu kila siku, alika na wengine.
#kabichi #kilimochakabichi #masokoyakabichi #mbeguzakabichi #kabichizakisasa #ainazakabichi
Office zetu zipo @tegetawazohill Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/u2szG8izfqU
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #mifugotz #kilimotz #mifugo #Kilimo #micheyamigomba #kilimochakisasa #morogoro #mbogamboga #mwanza #dodoma #tanzania🇹🇿 #tanzania #daressalaam #kampuniyakilimotanzania #kilimomifugonauvuvi
JOACK Company LTD | DSM & Bagamoyo
Tumblr media
0 notes
duckyworth · 4 years
Photo
Tumblr media
Another drawing of my African animal characters when inspiration struck me - I’m having a LOT of fun drawing these characters. :D 
I found out that giraffes, due to their height, have to squat in a rather awkward position when they want to drink water due to their necks not being long enough to reach the ground - and because I'm trying to get practice drawing animals in different poses, I thought it would be a good bit of practice to draw Mti bending down to drink. I also wanted to include Mstari standing watch to protect his partner from any predators (and I included the Swahili term 'mpenzi wangu' (my love) as a term of endearment :) ) - and he could be blushing either because of the opportunity to protect him, or because he couldn't resist the urge to stare as Mti bends over. XD (And I made sure to get Mstari's hooves right this time.  )
7 notes · View notes